BANDA LA WIZARA YA FEDHA - NANE NANE JIJINI MBEYA

Watumishi wa Wizara ya Fedha, wakitoa elimu kwa wageni waliotembelea Banda la Wizara hiyo katika Maonesho ya Kimataifa ya Kilimo Nane Nane, yanayofanyika katika Viwanja vya John Mwakangale, jijini Mbeya, yaliyobeba kaulimbiu ya “Vijana na Wanawake ndio Msingi Imara wa Mifumo Endelevu ya Chakula Tanzania”.