BALOZI OMAR AWASILISHA BUNGENI MAPENDEKEZO YA MWONGOZO WA MAANDALIZI YA MPANGO NA BAJETI 2026/27 HADI 2028/2029

Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb) akiwasilisha bungeni Dodoma Mapendekezo ya Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti ya Serikali katika kipindi cha muda wa kati kwa mwaka 2026/2027 hadi 2028/2029.