Category Title

  • Government Budget Speeches
  • Ministry's Budget Speeches
  • Budget Books 2024/2025
  • Budget Books 2023/2024
  • Budget Books 2022/2023
  • Budget Books 2021/2022
  • Budget Books 2020
  • Budget Books 2018/2019
  • Budget Books 2015/2016
  • Budget Books 2014/2015
  • Content not found
  • Content not found
  • Content not found

WIZARA YA FEDHA YAIBUKA MSHINDI WA PILI TUZO ZA WIZARA BORA- SABASABA

15 Jul, 2024
WIZARA YA FEDHA YAIBUKA MSHINDI WA PILI TUZO ZA WIZARA BORA- SABASABA

Afisa Habari Mwandamizi wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini Wizara ya Fedha, Bw. Ramadhani Kissimba (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na maafisa kutoka Wizara ya Fedha na Taasisi zake, baada ya Wizara ya Fedha kuibuka na Tuzo ya Mshindi wa Pili wa Jumla kwa upande wa Wizara zilizoshiriki Maonesho ya 48 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam yaliyoandaliwa na TANTRADE (Sabasaba), yaliyofanyika katika Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere, Kilwa Road, Jijini Dar es Salaam, mwaka 2024.

 

Wizara ya Fedha imeibuka Mshindi wa Pili wa Jumla kwa upande wa Wizara zilizoshiriki Maonesho ya 48 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam yaliyoandaliwa na TANTRADE (Sabasaba), yaliyofanyika katika Viwanja vya Mwalimu Nyerere, Kilwa Road, Jijini Dar es Salaam, mwaka 2024.

Aidha, Taasisi yake ya ⁠Mamlaka ya Usimamizi wa Ununuzi (PPRA) imeshika nafasi ya Kwanza kwa Upande wa Mamlaka za Udhibiti nchini, huku Mamlaka ya Rufani za Zabuni (PPAA), ikishika nafasi ya Pili katika kundi la Taasisi za Serikali

Mwisho.