Category Title

  • Government Budget Speeches
  • Ministry's Budget Speeches
  • Budget Books 2024/2025
  • Budget Books 2023/2024
  • Budget Books 2022/2023
  • Budget Books 2021/2022
  • Budget Books 2020
  • Budget Books 2018/2019
  • Budget Books 2015/2016
  • Budget Books 2014/2015
  • Content not found
  • Content not found
  • Content not found

WIZARA YA FEDHA YAELIMISHA WANANCHI ARUSHA

08 Mar, 2025
WIZARA YA FEDHA YAELIMISHA WANANCHI ARUSHA

Maafisa Hesabu Wakuu, Kitengo cha Huduma za Mfuko Mkuu (CFS), Wizara ya Fedha, Bi. Joyce Chakcky na Bi. Mercelina Haule, wakitoa elimu kwa wananchi waliotembelea Banda la Wizara ya Fedha, katika Maadhimisho ya Kimataifa ya Siku ya Wanawake Duniani, yanayofanyika katika Uwanja wa Sheikh Amiri Abeid, jijini Arusha, yenye kauli mbiu ya ‘’ ’Wanawake na wasichana 2025: Tuimarishe Haki, Usawa na Uwezeshaji’’.

 

Wizara ya Fedha imeungana na washiriki wengine katika kutoa elimu kwa umma kuelekea maadhimisho ya Siku ya Wanawake yanayofanyika kitaifa jijini Arusha. Maadhimisho hayo yanayotarajiwa kufikia kilele siku ya tarehe 8, mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan. Maonesho hayo yana kauli mbiu ‘’Wanawake na wasichana 2025: Tuimarishe Haki, Usawa na Uwezeshaji’’.