Category Title
-
18 Feb, 2023THE ANTI-MONEY LAUNDERING ACT , CAP 423, R.E 2022
-
18 Feb, 2023THE ANTI-MONEY LAUNDERING ACT, CAP 423 R.E. 2022.
-
18 Feb, 2023THE ELECTRONIC TRANSACTIONS ACT, CAP 442 R.E. 2022
-
18 Feb, 2023THE_FINANCE_ACT_2022
-
17 Feb, 2023FINANCE ACT- 2021 - Amendment of Government Loans, Guarantees and Grant, Act
-
16 Feb, 2023CHAPTER 439-THE BUDGET ACT.doc FINAL REVISED 2020
-
16 Feb, 2023CHAPTER_290-THE_LOCAL_GOVERNMENT_FINANCE_ACT-01
-
16 Feb, 2023PUBLIC FINANCE ACT, CAP 348 RE 2020
-
16 Feb, 2023THE ANTI-MONEY LAUNDERING ACT, CAP 423 R.E. 2019
-
16 Feb, 2023THE BANKRUPTCY ACT, CAP 25 R.E 2019
-
View All
-
19 Jun, 2024THE PUBLIC FINANCE (MANAGEMENT OF PUBLIC PROPERTY) REGULATIONS, 2024
-
17 Feb, 2023KANUNI ZA MSAMAHA WA RIBA YA MALIMBIKIZO YA KODI YA PANGO LA ARDHI ZA MWAKA 2022
-
17 Feb, 2023THE-PUBLIC-FINANCE-GOVERNMENT-e-PAYMENT-GATEWAY-REGULATIONS-2019
-
16 Feb, 2023AMLA Regulations, June 2022 (GN 397)
-
16 Feb, 2023GN No 121-Public Procurement (Amendment) Regulations April ,2016
-
16 Feb, 2023GN.68 OF 2008- Government loans Regulations
-
16 Feb, 2023KANUNI ZA HUDUMA NDOGO ZA FEDHA (VIKUNDI VYA HUDUMA NDOGO ZA FEDHA VYA KIJAMII) LA MWAKA 2019
-
16 Feb, 2023KANUNI ZA HUDUMA NDOGO ZA FEDHA (WATOA HUDUMA NDOGO WASIOPOKEA AMANA) LA MWAKA 2019
-
16 Feb, 2023KANUNI ZA MAREKEBISHO YA KANUNI ZA TOZO YA MIAMALA YA FEDHA YA KIELETRONIKI ZA MWAKA 2022
-
16 Feb, 2023Public Procurement Ammendment_Act_2016
-
View All
-
10 Dec, 2024MWONGOZO WA MAANDALIZI YA MPANGO NA BAJETI KWA MWAKA 2025.26
-
12 Feb, 2024PLAN AND BUDGET GUIDELINE FOR 2024/25
-
17 Nov, 2023MWONGOZO WA MAANDALIZI YA MPANGO NA BAJETI YA SERIKALI KWA MWAKA 2024_25
-
08 Sep, 2023GUIDELINES FOR RISK MANAGEMENT IN PSE, 2023
-
08 Sep, 2023GUIDELINES FOR FRAUD RISK MANAGEMENT FRAMEWORK IN THE PUBLIC SECTOR ENTITIES, 2023
-
12 May, 2023Compensation Claims Settlement Guidelines 2023
-
02 Dec, 2022MWONGOZO WA MAANDALIZI YA MPANGO NA BAJETI YA SERIKALI KWA MWAKA 2023/24
-
28 Feb, 2022MWONGOZO WA MAANDALIZI YA MPANGO NA BAJETI YA SERIKALI KWA MWAKA 2022/23
-
28 Feb, 2022MWONGOZO WA MAANDALIZI YA MPANGO NA BAJETI YA SERIKALI KWA MWAKA 2021/22
-
13 Nov, 2021Guidelines For Preparation of Plans and Budget 2020_21
-
View All
-
03 Jan, 2025Midterm Review MoF Strategic Plan Final 2025-26.
-
24 May, 2024ENVIRONMENTAL AND SOCIAL COMMITMENT PLAN (ESCP) FAST PROJECT
-
24 May, 2024FINANCIAL ACCESS FOR SUSTAINABLE AND TRANSFORMATIONAL (FAST) GROWTH
-
28 Jul, 2023MPANGO WA TAIFA WA MAENDELEO 2023/2024
-
11 Jul, 2023Tanzania’s 2023 Voluntary National Review (VNR) Report on the Implementation of the 2030 Agenda for Sustainable Development
-
10 Jul, 2023Mpango wa Maendeleo wa Taifa 2021.22
-
17 Jan, 2023Mwongozo wa Kitaifa wa Ufuatiliaji na Tathmini ya Miradi na Programu za Maendeleo
-
21 Dec, 2022MAPENDEKEZO YA MPANGO WA MAENDELEO WA TAIFA WA MWAKA 2023-24 (2) (1) (1)
-
19 Dec, 2022REVISED STRATEGY FOR MANAGEMENT OF ARREARS
-
29 Nov, 2022PFMRP VI STRATEGY
-
View All
-
Government Budget Speeches
-
Ministry's Budget Speeches
-
17 Feb, 2023SPEECH OF GOVERNMENT BUDGET FOR 2022-23
-
14 Jun, 2022BUDGET SPEECH 2022-23 ENGLISH VERSION
-
08 May, 2022SPEECH OF GOVERNMENT BUDGET FOR 2021-22
-
08 May, 2022HOTUBA YA BAJETI KUU MWAKA 2021-22
-
08 May, 2022HOTUBA YA BAJETI KUU MWAKA 2021-22
-
07 May, 2022SPEECH OF GOVERNMENT BUDGET FOR 2020-21
-
07 May, 2022HOTUBA YA BAJETI KUU MWAKA 2020-21
-
06 May, 2022SPEECH OF GOVERNMENT BUDGET FOR 2019-20
-
06 May, 2022SPEECH OF GOVERNMENT BUDGET FOR 2018-19
-
06 May, 2022HOTUBA YA BAJETI KUU MWAKA 2018-19
-
View All
-
07 Jun, 2023Hotuba ya Wizara ya Fedha na Mipango ya Makadirio ya Mapato na matumizi 2023-24
-
17 Feb, 2023Hotuba ya Wizara ya Fedha na Mipango ya Makadirio ya Mapato na matumizi 2022-2023
-
17 Feb, 2023Hotuba ya Wizara ya Fedha na Mipango ya Makadirio ya Mapato na matumizi 2021 - 2022
-
17 Feb, 2023Hotuba ya Wizara ya Fedha na Mipango ya Makadirio ya Mapato na matumizi 2020 - 2021
-
17 Feb, 2023Hotuba ya Wizara ya Fedha na Mipango ya Makadirio ya Mapato na matumizi 2016 - 2017
-
17 Feb, 2023Hotuba ya Wizara ya Fedha na Mipango ya Makadirio ya Mapato na matumizi 2015 - 2016
-
17 Feb, 2023Hotuba ya Wizara ya Fedha na Mipango ya Makadirio ya Mapato na matumizi 2014- 2015
-
17 Feb, 2023Hotuba ya Wizara ya Fedha na Mipango ya Makadirio ya Mapato na matumizi 2006 - 2007
-
17 Feb, 2023Hotuba ya Wizara ya Fedha na Mipango ya Makadio ya Mapato na matumizi 2018-2019
-
17 Feb, 2023Hotuba ya Wizara ya Fedha na Mipango ya Makadio ya Mapato na matumizi 2017-2018
-
View All
-
24 Mar, 2025THE BUDGET EXECUTION REPORT FOR THE SECOND QUARTER OF 2024/25 (JULY TO DECEMBER 2024)
-
27 Dec, 2024THE BUDGET EXECUTION REPORT FOR THE FIRST QUARTER OF THE YEAR 2024/25
-
08 Nov, 2024BUDGET EXECUTION REPORT FOR THE FOURTH QUARTER_2023-24
-
31 May, 2024BUDGET EXECUTION REPORT QUATER 3- 2023-24
-
03 Apr, 2024BUDGET EXECUTION REPORT SECOND QUARTER FOR 2023_24
-
23 Jan, 2024BUDGET EXECUTION REPORT Q1 2023-24
-
28 Nov, 2023BUDGET EXECUTION REPORT FOR 2022_23 (JULY 2022 TO JUNE 2023)
-
31 May, 2023THE BUDGET EXECUTION REPORT FOR THE THIRD QUARTER OF 2022/23 (JULY 2022 TO MARCH 2023)
-
11 Apr, 2023THE BUDGET EXECUTION REPORT FOR THE SECOND QUARTER OF 2022/23
-
28 Nov, 2022THE BUDGET EXECUTION REPORT FOR THE FIRST QUARTER OF 2022/23 (JULY TO SEPTEMBER 2022)
-
View All
-
14 Nov, 2024KITABU CHA BAJETI YA SERIKALI KWA MWAKA 2024_25 TOLEO LA MWANANCHI
-
10 Oct, 2023GOVERNMENT BUDGET CITIZENS’ EDITION 2023/2024
-
04 Aug, 2023KEY POINTS OF TAX POLICIES IN THE 2023/24 BUDGET SPEECH - CITIZEN EDITION
-
26 Jul, 2023BUDGET INSIGHTS 2023_24
-
16 Aug, 2022Citizen Budget 2022_23 English
-
03 Mar, 2022GOVERNMENT BUDGET CITIZENS’ EDITION 2021/2022
-
02 Mar, 2022GOVERNMENT BUDGET CITIZENS’ EDITION 2020/2021
-
01 Mar, 2022GOVERNMENT BUDGET CITIZENS’ EDITION 2019/2020
-
28 Feb, 2022GOVERNMENT BUDGET CITIZENS’ EDITION 2018/2019
-
25 Feb, 2022GOVERNMENT BUDGET CITIZENS’ EDITION 2017/2018
-
View All
-
Budget Books 2024/2025
-
Budget Books 2023/2024
-
Budget Books 2022/2023
-
Budget Books 2021/2022
-
Budget Books 2020
-
Budget Books 2018/2019
-
Budget Books 2015/2016
-
Budget Books 2014/2015
-
23 Oct, 2024volume I 2024-25 as passed by Parliament
-
26 Aug, 2024Vol II Recurent Expenditure As Passed 202425
-
26 Aug, 2024Vol III Recurrent Expenditure As Passed 202425
-
26 Aug, 2024Vol IV Development Expenditure As Passed 2024_25-2
-
03 May, 2024Vol I Revenue Estimates as Submitted 2024.25
-
19 Apr, 2024Vol II Reccurent Expenditure As Submitted 2024.25
-
19 Apr, 2024Vol III Recurrent Expenditure As Submitted 2024.25
-
19 Apr, 2024Vol IV Development Expenditure As Submitted 2024.25
-
View All
-
28 Aug, 2023Vol II Recurrent Expenditure As Passed 2023.24
-
28 Aug, 2023Vol III Recurrent Expenditure As Passed 2023.24
-
28 Aug, 2023Vol IV Development Expenditure As Passed 2023.24
-
04 Apr, 2023VOL II Recurrent Expenditure As Submitted 2023-24
-
04 Apr, 2023VOL III Recurrent Expenditure As Submitted 2023-24
-
04 Apr, 2023VOL IV Development Expenditure As Submitted 2023.24
-
View All
-
07 Nov, 2022VOLUME I REVENUE_ESTIMATES_2022_23 AS PASSED BY THE PARLIAMENT
-
10 Oct, 2022As Passed Volume II 2022_23
-
10 Oct, 2022As Passed Volume III 2022_23
-
10 Oct, 2022As passed Volume IV 2022_23
-
19 Jul, 2022Revenue_estimates_22_23
-
07 Jun, 2022VOLUME II As Submitted 2022_23
-
07 Jun, 2022VOLUME III As Submitted 2022_23
-
07 Jun, 2022VOLUME IV As Submitted 2022_23
-
View All
-
29 Jun, 2022VOLUME IV AS PASSED BY PARLIAMENT 2021.22
-
01 Jun, 2022VOLUME II AS PASSED BY PARLIAMENT 2021.22
-
31 May, 2022VOLUME III AS PASSED BY PARLIAMENT 2021.22
-
07 Mar, 2022VOLUME II ESTIMATES OF PUBLIC EXPENDITURES AS PASSED BY THE PARLIAMENT 2021.2022 (MINISTERIAL)
-
06 Mar, 2022VOLUME III ESTIMATES OF PUBLIC EXPENDITURES AS PASSED BY THE PARLIAMENT 2021.2022 (REGIONAL)
-
05 Mar, 2022VOLUME IV PUBLIC EXPENDITURE ESTIMATES DEVELOPMENT VOTES AS PASSED BY THE PARLIAMENT 2021.2022 (Ministerial and Regional Development Programmes)
-
04 Mar, 2022VOLUME I Financial Statement & Revenue Estimates for the year from 1 July 2021- to 30th June 2022
-
03 Mar, 2022VOLUME II Estimates of Public Expenditure Consolidated Fund Services and Supply Votes (Ministerial) - 2021.22
-
28 Feb, 2022VOLUME III Estimates of Public Expenditure Supply Votes (Regional) - 2021-22
-
27 Feb, 2022VOLUME IV Public Expenditure Estimates Development Votes (Ministerial and Regional Development Programmes ) - 2021.22
-
View All
- Content not found
-
03 Mar, 2022VOLUME I - FINANCIAL STATEMENT AND REVENUE ESTIMATES 2018-19
-
02 Mar, 2022volome II 2018_19
-
28 Feb, 2022Volume III 2018_19
-
27 Feb, 2022volome IV 2018_19
-
26 Feb, 2022KITABU CHA MKAKATI WA KUZIWEZESHA HALMASHAURI KUJITEGEMEA KIMAPATO
-
View All
-
03 Mar, 2022Volume II -as passed 2014-15
-
02 Mar, 2022Volume III -as passed 2014-15
-
01 Mar, 2022volume IV-as passed 2014-15
-
View All
- Content not found
- Content not found
-
13 Mar, 2023MAPENDEKEZO YA SERIKALI YA MPANGO WA MAENDELEO WA TAIFA WA MWAKA 2023/24 NA MFUMO NA UKOMO WA BAJETI YA SERIKALI KWA MWAKA 2023/24
-
17 Feb, 2023HOTUBA YA HALI YA UCHUMI WA TAIFA KATIKA MWAKA 2021 NA MPANGO WA MAENDELEO WA TAIFA WA MWAKA 2022-23
-
View All
-
11 May, 2023REPORT BY THOSE CHARGED WITH GOVERNANCE AND CONSOLIDATED FINANCIAL STATEMENTS FOR THE YEAR ENDED 30TH JUNE, 2022
-
25 Oct, 2022Financial statements and compliance audit of public debt and general service (vote 22) for the financial year ended 30 June 2021
-
25 Oct, 2022Financial statements of public debt and general services (vote 22) for the financial year ended 30 June, 2020
-
25 Oct, 2022Financial statements of public debt and general services (vote 22) for the financial year ended 30 June, 2019
-
10 Jun, 2022CONSOLIDATED FINANCIAL STATEMENTS 30 JUNE 2021
-
03 Mar, 2022Audited Consolidated Financial Statements for the year ended 30th June, 2020"
-
02 Mar, 2022Audited Consolidated Financial Statements for the year ended 30th June, 2019"
-
28 Feb, 2022Audited Consolidated Financial Statements for year ended 30th June, 2018
-
27 Feb, 2022Audited Consolidated Financial Statements for year ended 30th June, 2017
-
View All
-
06 Nov, 2024UFANISI WA MIFUKO NA PROGRAMU ZA SERIKALI ZA UWEZESHAJI WANANCHI KIUCHUMI
-
06 Nov, 2024MATOKEO YA HUDUMA ZA UWAKALA WA BENKI KATIKA UKUAJI WA SEKTA NDOGO YA BENKI TANZANIA
-
View All
-
17 Feb, 2023Enhanced-SP-Portal-User Manual
-
17 Feb, 2023GePG-Helpdesk-User-Manual
-
17 Feb, 2023GePG-LUKU-Portal-User-Manual
-
17 Feb, 2023GePG-POS-APP-USER-MANUAL
-
17 Feb, 2023GEPG-RECONCILIATION-TOOL-USER-MANUAL
-
View All
-
13 Jun, 2024HALI YA UCHUMI WA TAIFA KATIKA MWAKA 2023
-
28 Jul, 2023ECONOMIC SURVEY REPORT -2023-24
-
15 Jun, 2023ECONOMIC SURVEY 2023
-
14 Jun, 2023ECONOMIC SURVEY 2022.
-
14 Jun, 2023KITABU_CHA_HALI_YA_UCHUMI_WA_TAIFA_KATIKA_MWAKA_2022
-
14 Jun, 2022HALI YA UCHUMI WA TAIFA 2021
-
12 Jun, 2022Hali ya Uchumi wa Taifa 2020
-
28 Feb, 2022HALI YA UCHUMI WA TAIFA KATIKA MWAKA 2018
-
27 Feb, 2022HALI YA UCHUMI WA TAIFA KWA MWAKA 2017
-
View All
-
21 May, 2024MAREKEBISHO YA KANUNI ZA PPP 2023
-
21 May, 2024MAREKEBISHO YA SHERIA YA PPP, 2023
-
21 May, 2024MKAKATI WA UTEKELEZAJI WA SERA YA PPP
-
15 May, 2022Approved PPP Regulations, 2020
-
15 May, 2022PPP ACT RE 2018
-
15 May, 2022PPP Policy 2009
-
View All
TANZANIA NA UAE ZATIA SAINI MKATABA WA KUTOTOZA KODI MARA MBILI KATI YA NCHI HIZO
27 Sep, 2022

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Umoja wa Falme za Kiarabu zimetia saini mkataba wa makubaliano ya kuondoa utozaji Kodi Mara Mbili na Kuzuia Ukwepaji wa Kodi ya Mapato kati ya nchi hizo mbili, yaani Agreement on Avoidance of Double Taxation and Prevention of Fiscal Evasion on Income Taxes.
Mkataba huo umetiwa saini katika Ofisi za Wizara ya Fedha, Umoja wa Falme za Kiarabu mjini Dubai na Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, kwa niaba ya Serikali ya Tanzania na Mhe. Mohamed Bin Hadi Al Hussain, Waziri wa Nchi wa Mambo ya Fedha wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE)
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba alisema kuwa kusainiwa kwa Mkataba huo ni jitihada za Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, alizozifanya Mwezi Februari, 2022 katika nchi za Umoja wa Falme za Kiarabu ambapo aliagiza kuondolewa kwa changamoto hiyo ili kukuza mahusiano ya kiuchumi, kuimarisha ushirikiano katika masuala ya kodi na kuchochea mazingira wezeshi ya uwekezaji kati ya nchi hizo mbili.
“Ni matumaini yetu kwamba baada ya mkataba huu ku tutaona uwekezaji mkubwa ukikua kati ya nchi zetu hizi, hasa kutoka Uarabuni ambao wana mitaji mikubwa lakini utozaji kodi mara mbili ulikuwa unawakwaza, hata wawekezaji, wafanyabiashara wa Tanzania wataweza kufanya biashara bila kuwa na mashaka ya kutozwa kodi mara mbili hivyo kuongeza ukuaji wa uchumi wa nchi hizi mbili” alisema Dkt. Nchemba.
Dkt. Nchemba alisema kuwa UAE imeingia mikataba kama hiyo na nchi 139 duniani, zikiwemo nchi za Afrika Mashariki, lakini Tanzania ilikosa baadhi ya fursa za uwekezaji kutoka mataifa hayo ya Umoja wa Nchi za Falme za Kiarabu na kuwataka Watanzania kuchangamkia fursa hizo zinazotokana na kuondolewa kwa changamoto hizo za utozaji kodi mara mbili.
“Hatua hii itavutia uwekezaji wa mitaji na ujenzi wa viwanda vitakavyosaidia kuchakata bidhaa zitakazozalisha ajira kwa vijana wa kitanzania na itachachua uchumi kwa kuongeza wigo wa kodi, kuongeza uzalishaji wa bidhaa zitakazo uzwa ndani na nje ya nchi hivyo kuongeza upatikanaji wa fedha za kigeni” alisema Dkt. Nchemba
Alisema kuwa Tanzania imekaa kimkakati kutokana na kuwa lango la biashara kutokana na uwepo wa bahari, idadi kubwa ya watu, kuwa katika eneo la kimkakati kijiografia pamoja na kuwa na soko la uhakika katika eneo la Jumuiya ya Afrika Mashariki na Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) linalokadiriwa kuwa na zaidi ya watu milioni 177.
Hivyo, kusainiwa kwa mkataba huo kutafungua ukurasa mpya wa ushirikiano wa kiuchumi ambapo makampuni makubwa yanayomilikiwa na Serikali ya Umoja wa Falme za Kiarabu yatakwenda kuwekeza nchini Tanzania ambapo uwekezaji huo utaleta faida katika sekta za uzalishaji, ukuaji wa viwanda pamoja na kuongeza ajira kwa Watanzania.
Pamoja na kusaini mkataba huo, Mheshimiwa Waziri wa Fedha alipata fursa ya kufanya mazungumzo na Waziri mwenzie wa Fedha wa upande wa Umoja wa Falme za Kiarabu ambapo walizungumzia masuala mbalimbali ya ushirikiano, ikiwemo ukamilishwaji wa Mkataba wa Kuhamasisha na Kulinda Uwekezaji yaani “Agreement on Promotion and Protection of Investment” ambapo walizielekeza timu za wataalam wa pande zote mbili kukutana na kuanza majadiliano ya mkataba huo kwa faida za pande zote.
Naye Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Fedha na Mipango, Bw. Lawrence Mafuru, alisema kuwa kusainiwa kwa Mkataba huo wenye vipengele 31 ambavyo nchi hizo mbili zimekubaliana kuvitekeleza, utawezesha mtu ama taasisi inayofanya biashara katika nchi hizo kutozwa kodi ya faida ya mapato upande mmoja badala ya utaratibu wa awali ambapo walikuwa wakitozwa kodi hiyo kila upande na kuzua malalamiko kutoka kwa wawekezaji.
“Baadhi ya watu wanaweza kutafsiri kuwa mikataba ya aina hii ni kusamehe kodi, lahasha, hii ni mikataba inayoweka kanuni ya kuzuia uhamishaji wa kodi kutoka nchi moja kwenda nchi nyingine kwa kuzingatia uwekezaji unatoka katika eneo gani, inahusisha kulinda mitaji ya wawekezaji wa nchi husika” alisema Bw. Mafuru
Alisema kuwa kuwepo kwa mkataba huo kutawejengea wawekezaji uhakika na imani ya kuwekeza mitaji yao nchini, jambo ambalo halikuwepo huko nyuma, na kwa kuwa mikataba ya namna hiyo inalindwa kimataifa, na kama kutakuwa na kutokuelewana kwa namna yoyote, mikataba hiyo itakuwa msingi wa majadiliano.
Maeneo yanayoguswa na makubaliano hayo ni utozaji wa kodi katika mapato yanayotokana na biashara, usafiri wa anga na majini, mali zisizohamishika, riba, gawio, uvunaji wa rasilimali za asili, wafanyakazi na watafiti, wanafunzi malipo ya pensheni na Hifadhi ya Jamii pamoja na masuala ya michezo.
Kwa upande wake, Waziri wa Nchi wa Mambo ya Fedha wa Umoja wa Falme za Kiarabu, Mhe. Mohamed Bin Had Al Hussain, alisema kuwa hatua iliyofikiwa ya kuondoa utozaji kodi ya mapato mara mbili kati ya Tanzania na UAE kutavutia wawekezaji wengi zaidi kutoka katika nchi za Umoja wa Falme za Kiarabu na kuchochea ukuaji wa uchumi wa wananchi wa pande hizo mbili.
Alipongeza jitihada zinazofanywa na Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania za kuboresha mazingira ya uwekezaji nchini na kufanikisha jambo hilo la kuondoa utozaji wa kodi ya mapato mara mbili na kwamba hatua hiyo itavutia mitaji na wawekezaji wengi kutoka nchi za Kiarabu kuja kuwekeza Tanzania na kuomba pia suala la kulinda mitaji na uwekezaji lifanyiwe kazi.
Mwisho