Category Title
-
18 Feb, 2023THE ANTI-MONEY LAUNDERING ACT , CAP 423, R.E 2022
-
18 Feb, 2023THE ANTI-MONEY LAUNDERING ACT, CAP 423 R.E. 2022.
-
18 Feb, 2023THE ELECTRONIC TRANSACTIONS ACT, CAP 442 R.E. 2022
-
18 Feb, 2023THE_FINANCE_ACT_2022
-
17 Feb, 2023FINANCE ACT- 2021 - Amendment of Government Loans, Guarantees and Grant, Act
-
16 Feb, 2023CHAPTER 439-THE BUDGET ACT.doc FINAL REVISED 2020
-
16 Feb, 2023CHAPTER_290-THE_LOCAL_GOVERNMENT_FINANCE_ACT-01
-
16 Feb, 2023PUBLIC FINANCE ACT, CAP 348 RE 2020
-
16 Feb, 2023THE ANTI-MONEY LAUNDERING ACT, CAP 423 R.E. 2019
-
16 Feb, 2023THE BANKRUPTCY ACT, CAP 25 R.E 2019
-
View All
-
19 Jun, 2024THE PUBLIC FINANCE (MANAGEMENT OF PUBLIC PROPERTY) REGULATIONS, 2024
-
17 Feb, 2023KANUNI ZA MSAMAHA WA RIBA YA MALIMBIKIZO YA KODI YA PANGO LA ARDHI ZA MWAKA 2022
-
17 Feb, 2023THE-PUBLIC-FINANCE-GOVERNMENT-e-PAYMENT-GATEWAY-REGULATIONS-2019
-
16 Feb, 2023AMLA Regulations, June 2022 (GN 397)
-
16 Feb, 2023GN No 121-Public Procurement (Amendment) Regulations April ,2016
-
16 Feb, 2023GN.68 OF 2008- Government loans Regulations
-
16 Feb, 2023KANUNI ZA HUDUMA NDOGO ZA FEDHA (VIKUNDI VYA HUDUMA NDOGO ZA FEDHA VYA KIJAMII) LA MWAKA 2019
-
16 Feb, 2023KANUNI ZA HUDUMA NDOGO ZA FEDHA (WATOA HUDUMA NDOGO WASIOPOKEA AMANA) LA MWAKA 2019
-
16 Feb, 2023KANUNI ZA MAREKEBISHO YA KANUNI ZA TOZO YA MIAMALA YA FEDHA YA KIELETRONIKI ZA MWAKA 2022
-
16 Feb, 2023Public Procurement Ammendment_Act_2016
-
View All
-
10 Dec, 2024MWONGOZO WA MAANDALIZI YA MPANGO NA BAJETI KWA MWAKA 2025.26
-
12 Feb, 2024PLAN AND BUDGET GUIDELINE FOR 2024/25
-
17 Nov, 2023MWONGOZO WA MAANDALIZI YA MPANGO NA BAJETI YA SERIKALI KWA MWAKA 2024_25
-
08 Sep, 2023GUIDELINES FOR RISK MANAGEMENT IN PSE, 2023
-
08 Sep, 2023GUIDELINES FOR FRAUD RISK MANAGEMENT FRAMEWORK IN THE PUBLIC SECTOR ENTITIES, 2023
-
12 May, 2023Compensation Claims Settlement Guidelines 2023
-
02 Dec, 2022MWONGOZO WA MAANDALIZI YA MPANGO NA BAJETI YA SERIKALI KWA MWAKA 2023/24
-
28 Feb, 2022MWONGOZO WA MAANDALIZI YA MPANGO NA BAJETI YA SERIKALI KWA MWAKA 2022/23
-
28 Feb, 2022MWONGOZO WA MAANDALIZI YA MPANGO NA BAJETI YA SERIKALI KWA MWAKA 2021/22
-
13 Nov, 2021Guidelines For Preparation of Plans and Budget 2020_21
-
View All
-
03 Jan, 2025Midterm Review MoF Strategic Plan Final 2025-26.
-
24 May, 2024ENVIRONMENTAL AND SOCIAL COMMITMENT PLAN (ESCP) FAST PROJECT
-
24 May, 2024FINANCIAL ACCESS FOR SUSTAINABLE AND TRANSFORMATIONAL (FAST) GROWTH
-
28 Jul, 2023MPANGO WA TAIFA WA MAENDELEO 2023/2024
-
11 Jul, 2023Tanzania’s 2023 Voluntary National Review (VNR) Report on the Implementation of the 2030 Agenda for Sustainable Development
-
10 Jul, 2023Mpango wa Maendeleo wa Taifa 2021.22
-
17 Jan, 2023Mwongozo wa Kitaifa wa Ufuatiliaji na Tathmini ya Miradi na Programu za Maendeleo
-
21 Dec, 2022MAPENDEKEZO YA MPANGO WA MAENDELEO WA TAIFA WA MWAKA 2023-24 (2) (1) (1)
-
19 Dec, 2022REVISED STRATEGY FOR MANAGEMENT OF ARREARS
-
29 Nov, 2022PFMRP VI STRATEGY
-
View All
-
Government Budget Speeches
-
Ministry's Budget Speeches
-
17 Feb, 2023SPEECH OF GOVERNMENT BUDGET FOR 2022-23
-
14 Jun, 2022BUDGET SPEECH 2022-23 ENGLISH VERSION
-
08 May, 2022SPEECH OF GOVERNMENT BUDGET FOR 2021-22
-
08 May, 2022HOTUBA YA BAJETI KUU MWAKA 2021-22
-
08 May, 2022HOTUBA YA BAJETI KUU MWAKA 2021-22
-
07 May, 2022SPEECH OF GOVERNMENT BUDGET FOR 2020-21
-
07 May, 2022HOTUBA YA BAJETI KUU MWAKA 2020-21
-
06 May, 2022SPEECH OF GOVERNMENT BUDGET FOR 2019-20
-
06 May, 2022SPEECH OF GOVERNMENT BUDGET FOR 2018-19
-
06 May, 2022HOTUBA YA BAJETI KUU MWAKA 2018-19
-
View All
-
07 Jun, 2023Hotuba ya Wizara ya Fedha na Mipango ya Makadirio ya Mapato na matumizi 2023-24
-
17 Feb, 2023Hotuba ya Wizara ya Fedha na Mipango ya Makadirio ya Mapato na matumizi 2022-2023
-
17 Feb, 2023Hotuba ya Wizara ya Fedha na Mipango ya Makadirio ya Mapato na matumizi 2021 - 2022
-
17 Feb, 2023Hotuba ya Wizara ya Fedha na Mipango ya Makadirio ya Mapato na matumizi 2020 - 2021
-
17 Feb, 2023Hotuba ya Wizara ya Fedha na Mipango ya Makadirio ya Mapato na matumizi 2016 - 2017
-
17 Feb, 2023Hotuba ya Wizara ya Fedha na Mipango ya Makadirio ya Mapato na matumizi 2015 - 2016
-
17 Feb, 2023Hotuba ya Wizara ya Fedha na Mipango ya Makadirio ya Mapato na matumizi 2014- 2015
-
17 Feb, 2023Hotuba ya Wizara ya Fedha na Mipango ya Makadirio ya Mapato na matumizi 2006 - 2007
-
17 Feb, 2023Hotuba ya Wizara ya Fedha na Mipango ya Makadio ya Mapato na matumizi 2018-2019
-
17 Feb, 2023Hotuba ya Wizara ya Fedha na Mipango ya Makadio ya Mapato na matumizi 2017-2018
-
View All
-
27 Dec, 2024THE BUDGET EXECUTION REPORT FOR THE FIRST QUARTER OF THE YEAR 2024/25
-
08 Nov, 2024BUDGET EXECUTION REPORT FOR THE FOURTH QUARTER_2023-24
-
31 May, 2024BUDGET EXECUTION REPORT QUATER 3- 2023-24
-
03 Apr, 2024BUDGET EXECUTION REPORT SECOND QUARTER FOR 2023_24
-
23 Jan, 2024BUDGET EXECUTION REPORT Q1 2023-24
-
28 Nov, 2023BUDGET EXECUTION REPORT FOR 2022_23 (JULY 2022 TO JUNE 2023)
-
31 May, 2023THE BUDGET EXECUTION REPORT FOR THE THIRD QUARTER OF 2022/23 (JULY 2022 TO MARCH 2023)
-
11 Apr, 2023THE BUDGET EXECUTION REPORT FOR THE SECOND QUARTER OF 2022/23
-
28 Nov, 2022THE BUDGET EXECUTION REPORT FOR THE FIRST QUARTER OF 2022/23 (JULY TO SEPTEMBER 2022)
-
27 Sep, 2022THE BUDGET EXECUTION REPORT FOR THE 2021/22 (JULY 2021 TO JUNE 2022)
-
View All
-
14 Nov, 2024KITABU CHA BAJETI YA SERIKALI KWA MWAKA 2024_25 TOLEO LA MWANANCHI
-
10 Oct, 2023GOVERNMENT BUDGET CITIZENS’ EDITION 2023/2024
-
04 Aug, 2023KEY POINTS OF TAX POLICIES IN THE 2023/24 BUDGET SPEECH - CITIZEN EDITION
-
26 Jul, 2023BUDGET INSIGHTS 2023_24
-
16 Aug, 2022Citizen Budget 2022_23 English
-
03 Mar, 2022GOVERNMENT BUDGET CITIZENS’ EDITION 2021/2022
-
02 Mar, 2022GOVERNMENT BUDGET CITIZENS’ EDITION 2020/2021
-
01 Mar, 2022GOVERNMENT BUDGET CITIZENS’ EDITION 2019/2020
-
28 Feb, 2022GOVERNMENT BUDGET CITIZENS’ EDITION 2018/2019
-
25 Feb, 2022GOVERNMENT BUDGET CITIZENS’ EDITION 2017/2018
-
View All
-
Budget Books 2024/2025
-
Budget Books 2023/2024
-
Budget Books 2022/2023
-
Budget Books 2021/2022
-
Budget Books 2020
-
Budget Books 2018/2019
-
Budget Books 2015/2016
-
Budget Books 2014/2015
-
23 Oct, 2024volume I 2024-25 as passed by Parliament
-
26 Aug, 2024Vol II Recurent Expenditure As Passed 202425
-
26 Aug, 2024Vol III Recurrent Expenditure As Passed 202425
-
26 Aug, 2024Vol IV Development Expenditure As Passed 2024_25-2
-
03 May, 2024Vol I Revenue Estimates as Submitted 2024.25
-
19 Apr, 2024Vol II Reccurent Expenditure As Submitted 2024.25
-
19 Apr, 2024Vol III Recurrent Expenditure As Submitted 2024.25
-
19 Apr, 2024Vol IV Development Expenditure As Submitted 2024.25
-
View All
-
28 Aug, 2023Vol II Recurrent Expenditure As Passed 2023.24
-
28 Aug, 2023Vol III Recurrent Expenditure As Passed 2023.24
-
28 Aug, 2023Vol IV Development Expenditure As Passed 2023.24
-
04 Apr, 2023VOL II Recurrent Expenditure As Submitted 2023-24
-
04 Apr, 2023VOL III Recurrent Expenditure As Submitted 2023-24
-
04 Apr, 2023VOL IV Development Expenditure As Submitted 2023.24
-
View All
-
07 Nov, 2022VOLUME I REVENUE_ESTIMATES_2022_23 AS PASSED BY THE PARLIAMENT
-
10 Oct, 2022As Passed Volume II 2022_23
-
10 Oct, 2022As Passed Volume III 2022_23
-
10 Oct, 2022As passed Volume IV 2022_23
-
19 Jul, 2022Revenue_estimates_22_23
-
07 Jun, 2022VOLUME II As Submitted 2022_23
-
07 Jun, 2022VOLUME III As Submitted 2022_23
-
07 Jun, 2022VOLUME IV As Submitted 2022_23
-
View All
-
29 Jun, 2022VOLUME IV AS PASSED BY PARLIAMENT 2021.22
-
01 Jun, 2022VOLUME II AS PASSED BY PARLIAMENT 2021.22
-
31 May, 2022VOLUME III AS PASSED BY PARLIAMENT 2021.22
-
07 Mar, 2022VOLUME II ESTIMATES OF PUBLIC EXPENDITURES AS PASSED BY THE PARLIAMENT 2021.2022 (MINISTERIAL)
-
06 Mar, 2022VOLUME III ESTIMATES OF PUBLIC EXPENDITURES AS PASSED BY THE PARLIAMENT 2021.2022 (REGIONAL)
-
05 Mar, 2022VOLUME IV PUBLIC EXPENDITURE ESTIMATES DEVELOPMENT VOTES AS PASSED BY THE PARLIAMENT 2021.2022 (Ministerial and Regional Development Programmes)
-
04 Mar, 2022VOLUME I Financial Statement & Revenue Estimates for the year from 1 July 2021- to 30th June 2022
-
03 Mar, 2022VOLUME II Estimates of Public Expenditure Consolidated Fund Services and Supply Votes (Ministerial) - 2021.22
-
28 Feb, 2022VOLUME III Estimates of Public Expenditure Supply Votes (Regional) - 2021-22
-
27 Feb, 2022VOLUME IV Public Expenditure Estimates Development Votes (Ministerial and Regional Development Programmes ) - 2021.22
-
View All
- Content not found
-
03 Mar, 2022VOLUME I - FINANCIAL STATEMENT AND REVENUE ESTIMATES 2018-19
-
02 Mar, 2022volome II 2018_19
-
28 Feb, 2022Volume III 2018_19
-
27 Feb, 2022volome IV 2018_19
-
26 Feb, 2022KITABU CHA MKAKATI WA KUZIWEZESHA HALMASHAURI KUJITEGEMEA KIMAPATO
-
View All
-
03 Mar, 2022Volume II -as passed 2014-15
-
02 Mar, 2022Volume III -as passed 2014-15
-
01 Mar, 2022volume IV-as passed 2014-15
-
View All
- Content not found
- Content not found
-
13 Mar, 2023MAPENDEKEZO YA SERIKALI YA MPANGO WA MAENDELEO WA TAIFA WA MWAKA 2023/24 NA MFUMO NA UKOMO WA BAJETI YA SERIKALI KWA MWAKA 2023/24
-
17 Feb, 2023HOTUBA YA HALI YA UCHUMI WA TAIFA KATIKA MWAKA 2021 NA MPANGO WA MAENDELEO WA TAIFA WA MWAKA 2022-23
-
View All
-
11 May, 2023REPORT BY THOSE CHARGED WITH GOVERNANCE AND CONSOLIDATED FINANCIAL STATEMENTS FOR THE YEAR ENDED 30TH JUNE, 2022
-
25 Oct, 2022Financial statements and compliance audit of public debt and general service (vote 22) for the financial year ended 30 June 2021
-
25 Oct, 2022Financial statements of public debt and general services (vote 22) for the financial year ended 30 June, 2020
-
25 Oct, 2022Financial statements of public debt and general services (vote 22) for the financial year ended 30 June, 2019
-
10 Jun, 2022CONSOLIDATED FINANCIAL STATEMENTS 30 JUNE 2021
-
03 Mar, 2022Audited Consolidated Financial Statements for the year ended 30th June, 2020"
-
02 Mar, 2022Audited Consolidated Financial Statements for the year ended 30th June, 2019"
-
28 Feb, 2022Audited Consolidated Financial Statements for year ended 30th June, 2018
-
27 Feb, 2022Audited Consolidated Financial Statements for year ended 30th June, 2017
-
View All
-
06 Nov, 2024UFANISI WA MIFUKO NA PROGRAMU ZA SERIKALI ZA UWEZESHAJI WANANCHI KIUCHUMI
-
06 Nov, 2024MATOKEO YA HUDUMA ZA UWAKALA WA BENKI KATIKA UKUAJI WA SEKTA NDOGO YA BENKI TANZANIA
-
View All
-
17 Feb, 2023Enhanced-SP-Portal-User Manual
-
17 Feb, 2023GePG-Helpdesk-User-Manual
-
17 Feb, 2023GePG-LUKU-Portal-User-Manual
-
17 Feb, 2023GePG-POS-APP-USER-MANUAL
-
17 Feb, 2023GEPG-RECONCILIATION-TOOL-USER-MANUAL
-
View All
-
13 Jun, 2024HALI YA UCHUMI WA TAIFA KATIKA MWAKA 2023
-
28 Jul, 2023ECONOMIC SURVEY REPORT -2023-24
-
15 Jun, 2023ECONOMIC SURVEY 2023
-
14 Jun, 2023ECONOMIC SURVEY 2022.
-
14 Jun, 2023KITABU_CHA_HALI_YA_UCHUMI_WA_TAIFA_KATIKA_MWAKA_2022
-
14 Jun, 2022HALI YA UCHUMI WA TAIFA 2021
-
12 Jun, 2022Hali ya Uchumi wa Taifa 2020
-
28 Feb, 2022HALI YA UCHUMI WA TAIFA KATIKA MWAKA 2018
-
27 Feb, 2022HALI YA UCHUMI WA TAIFA KWA MWAKA 2017
-
View All
-
21 May, 2024MAREKEBISHO YA KANUNI ZA PPP 2023
-
21 May, 2024MAREKEBISHO YA SHERIA YA PPP, 2023
-
21 May, 2024MKAKATI WA UTEKELEZAJI WA SERA YA PPP
-
15 May, 2022Approved PPP Regulations, 2020
-
15 May, 2022PPP ACT RE 2018
-
15 May, 2022PPP Policy 2009
-
View All
SERIKALI KUPITIA UPYA SERA ZA UTALII
Eva Ngowi
Wizara ya Fedha na Mipango
SERIKALI KUPITIA UPYA SERA ZA UTALII
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Fedha na Mipango inataka kupitia upya sera za utalii ili kuendana na uhalisia wa mazingira, hayo yamesemwa na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango Bw. Lawrence Mafuru alipokuwa akifungua kikao kazi na sekta binafsi chenye lengo la kupata uelewa zaidi kuhusiana na shughuli za utalii kilichofanyika jijini Arusha kwa njia ya mtandao.
“Sisi kama Wizara ya Fedha na Mipango jukumu letu kubwa ni kutengeneza au kuandaa Sera za uchumi na Sera za kibajeti au Sera za fedha. Kwa sehemu kubwa Sera zetu za kibajeti zina athari “either” chanya au hasi kwenye sekta mbalimbali, na kuna wakati Sera zetu zimekwenda kinyume na matarajio ya sekta za uchumi. Wakati ambapo tunataka kukuza uchumi tunajikuta kumbe Sera tulizozitengeneza zinakwenda “against”. Alisema Bw. Mafuru
Aidha Bw. Mafuru alisema kuwa dhumuni la kikao kazi hichi ni kutaka kujifunza na kuzijua Sekta binafsi zinapitia changamoto gani. Fursa hii inatoa wigo wa kujadiliana ili Serikali iweze kuchukua hatua stahiki na kufikia lengo lililokusudiwa. Pia kwa kuzingatia Dunia imetoka kwenye kipindi ambacho uchumi wa Tanzania na Nchi nyingine Duniani uliyumba kutokana na changamoto ya Uviko 19 na vita vinavyoendelea huko Russia na Ukrain.
Bw. Mafuru aliongeza kuwa Sekta nyingi ziliathirika zikiwemo za uzalishaji, Biashara na Sekta ya Utalii ambayo ndio iliathika sana kwa sababu raia wengi wa nchi hizo ndio ambao pia wanapendelea kuja katika nchi zetu hizi kufanya utalii. Hivyo Serikali inapaswa kuelewa mambo yanayotokea nje na ndani ya nchi ili Itengeneza sera zinaendena na uhalisia wa sasa.
“Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan alishasema zaidi ya mara mbili na ameendelea kusisitiza, tutengeneze mazingira wezeshi yatakayoiwezesha Sekta binafsi kukua na kuleta maendeleo ya uchumi kwa kutengeneza ajira, kuleta mapato kutokana na faida na mambo mengine ambayo yanatokana na maendeleo ya kiuchumi. Lakini maalumu kabisa katika sekta ya Utalii, yeye mwenyewe ametoka na kushiriki kwenye “Royal Tour” japo ana majukumu mengi lakini aliweka muda wake na kuweza kuinvest kwenye hiyo sekta. Ikumbukwe kuwa kwa miaka minne mitano iliyopita ilikuwa inachangia karibia dola bilioni mbili kwenye uchumi wetu sio kiasi kidogo cha fedha kuingia kwenye uchumi” Alisema Bw. Mafuru.
Kwa upande wa Kamishna wa Sera Wizara ya Fedha na Mipango Bw. Elijah Mwandumbya alisema kikao kazi cha leo kimewezesha kujua changamoto mbalimbali ikiwemo changamoto ya ushuru mkubwa katika mageti ya Halmashauri na uchelewashaji wa Mifumo ya Ulipaji kodi au tozo mbalimbali.
“Sisi Wizara ya Fedha na Mipango tutakaa Pamoja na Wizara hii ya kisekta ambayo ndio ina jukumu la kuanzisha hayo mageti ama hizo tozo lakini pia kwa kushirikiana na Wizara ya Maliasili na Utalii ambao wanasimamia sekta hii ya utalii Pamoja na TAMISEMI tuweze kukaa chini na kuhakikisha kwamba changamoto hizo za mageti mbalimbali zinaondolewa mojawapo ya eneo ambalo sisi tunapaswa kuelekea ni muhimu sana tukatengeneza dirisha moja ambapo wadau wa sekta ya utalii watakuwa wanalipa yale mapato ama tozo, ama kodiwazolipa. Tumefanya hivyo lakini tunapaswa tumalizie vipande vidogo vidogo ambavyo vimebaki ili kusudi wale wadau wakishalipa eneo moja basi waendelee na shughuli zao za kuwahudumia wale watalii washamirishe biashara zao ziweze kustawi na matokeo mengine chanya ambayo yapo katika eneo hilo. Pia kuhusu mifumo ya ulipaji ni eneo ambalo limeanzishwa miaka ya karibuni ni maboresho ambayo yanafanyika kila siku na sisi tutachukua hatua za makusudi kuhakikisha kwamba changamoto hii inakwisha kabisa iwe ni historia katika utendaji kazi wetu. Ni muhimu sana wafanyabiashara hawa wanapotaka kulipa kodi basi wasipate tatizo lolote la mtandao” Alisemba Bw. Mwandumbya
Naye Naibu Kamishna wa Hifadhi anayesimamia Kurugenzi ya Uhifadhi Pamoja na Huduma za Biashara ndani ya Shirika ya Hifadhi za Taifa Tanzania – TANAPA Bw. Herman Mbatio alisema anawashukuru Wizara ya Fedha na Mipango kwa kuweza kuandaa kikao kazi hiki kwani yamejadiliwa mambo mhuhimu yenye lengo la kuboresha shughuli za utalii.
“Changamoto mojawapo iliyojitokeza ni katika miundombinu kwenye maeneo ya hifadhi, lakini sisi kama Shirika la Hifadhi za Taifa ambao tunapokea watalii tumejipanga kuboresha miundombinu ya barabara. Kwa sasa hivi kama Shirika tumenunua mitambo ya Thamani ya shilingi bilioni kama 16.4 kuweza kutengeneza miundombinu katika hizi hifadhi zetu. “Alisema Bw. Mbatio
Kwa upande wa Katibu Mtendaji wa Shirikisho la Vyama vya Utalii Tanzania, Bw. Richard Rugimbana alisema ni muhimu kuwa na utaratibu wa majadiliano kama haya ili kujaribu kubadili utaratibu wa ushirikiano kati ya Serikali na wadau wa utalii.
“Leo tulichoitiwa hapa ni kutusikiliza kwamba jamani nyinyi mna changamoto zipi, ni mambo gani ambayo mngependa Serikali iyafikirie ili nayo iweze ikayaendeleza na kuweza kuhakikisha kwamba kweli tunaweza tukaanza ukurasa mpya na ambao utatusaidia katika masuala ya utalii kwani kilichotokea baada ya utalii kukwama wakati wa Machi 2020. Utalii ulianza kuzama lakini baadae kutokana na juhudi za Serikali za viongozi na pia Mhe. Mama Samia wakabuni mkakati wa kujaribu kuinua utalii na kama mtavyoona kuanzia mwaka huu tangu mwezi wa sita idadi ya utalii imeongezeka haifiki idadi ya utalii ya zamani lakini angalau inafika kwenye idadi ya milioni moja na kadhalika hivi” Alisema Bw. Rugimbana
Kikao kazi cha maboresho ya Sera na kusikiliza changamoto za wadau wa Utalii kimejumuisha Wizara ya Fedha na Mipango, Mamlaka ya Mapato Tanzania – TRA Pamoja na Wizara ya Maliasili na Utalii iliyojumuisha Taasisi zake za TANAPA na Ngorongoro
MWISHO