Category Title
-
18 Feb, 2023THE ANTI-MONEY LAUNDERING ACT , CAP 423, R.E 2022
-
18 Feb, 2023THE ANTI-MONEY LAUNDERING ACT, CAP 423 R.E. 2022.
-
18 Feb, 2023THE ELECTRONIC TRANSACTIONS ACT, CAP 442 R.E. 2022
-
18 Feb, 2023THE_FINANCE_ACT_2022
-
17 Feb, 2023FINANCE ACT- 2021 - Amendment of Government Loans, Guarantees and Grant, Act
-
16 Feb, 2023CHAPTER 439-THE BUDGET ACT.doc FINAL REVISED 2020
-
16 Feb, 2023CHAPTER_290-THE_LOCAL_GOVERNMENT_FINANCE_ACT-01
-
16 Feb, 2023PUBLIC FINANCE ACT, CAP 348 RE 2020
-
16 Feb, 2023THE ANTI-MONEY LAUNDERING ACT, CAP 423 R.E. 2019
-
16 Feb, 2023THE BANKRUPTCY ACT, CAP 25 R.E 2019
-
View All
-
19 Jun, 2024THE PUBLIC FINANCE (MANAGEMENT OF PUBLIC PROPERTY) REGULATIONS, 2024
-
17 Feb, 2023KANUNI ZA MSAMAHA WA RIBA YA MALIMBIKIZO YA KODI YA PANGO LA ARDHI ZA MWAKA 2022
-
17 Feb, 2023THE-PUBLIC-FINANCE-GOVERNMENT-e-PAYMENT-GATEWAY-REGULATIONS-2019
-
16 Feb, 2023AMLA Regulations, June 2022 (GN 397)
-
16 Feb, 2023GN No 121-Public Procurement (Amendment) Regulations April ,2016
-
16 Feb, 2023GN.68 OF 2008- Government loans Regulations
-
16 Feb, 2023KANUNI ZA HUDUMA NDOGO ZA FEDHA (VIKUNDI VYA HUDUMA NDOGO ZA FEDHA VYA KIJAMII) LA MWAKA 2019
-
16 Feb, 2023KANUNI ZA HUDUMA NDOGO ZA FEDHA (WATOA HUDUMA NDOGO WASIOPOKEA AMANA) LA MWAKA 2019
-
16 Feb, 2023KANUNI ZA MAREKEBISHO YA KANUNI ZA TOZO YA MIAMALA YA FEDHA YA KIELETRONIKI ZA MWAKA 2022
-
16 Feb, 2023Public Procurement Ammendment_Act_2016
-
View All
-
10 Dec, 2024MWONGOZO WA MAANDALIZI YA MPANGO NA BAJETI KWA MWAKA 2025.26
-
12 Feb, 2024PLAN AND BUDGET GUIDELINE FOR 2024/25
-
17 Nov, 2023MWONGOZO WA MAANDALIZI YA MPANGO NA BAJETI YA SERIKALI KWA MWAKA 2024_25
-
08 Sep, 2023GUIDELINES FOR RISK MANAGEMENT IN PSE, 2023
-
08 Sep, 2023GUIDELINES FOR FRAUD RISK MANAGEMENT FRAMEWORK IN THE PUBLIC SECTOR ENTITIES, 2023
-
12 May, 2023Compensation Claims Settlement Guidelines 2023
-
02 Dec, 2022MWONGOZO WA MAANDALIZI YA MPANGO NA BAJETI YA SERIKALI KWA MWAKA 2023/24
-
28 Feb, 2022MWONGOZO WA MAANDALIZI YA MPANGO NA BAJETI YA SERIKALI KWA MWAKA 2022/23
-
28 Feb, 2022MWONGOZO WA MAANDALIZI YA MPANGO NA BAJETI YA SERIKALI KWA MWAKA 2021/22
-
13 Nov, 2021Guidelines For Preparation of Plans and Budget 2020_21
-
View All
-
03 Jan, 2025Midterm Review MoF Strategic Plan Final 2025-26.
-
24 May, 2024ENVIRONMENTAL AND SOCIAL COMMITMENT PLAN (ESCP) FAST PROJECT
-
24 May, 2024FINANCIAL ACCESS FOR SUSTAINABLE AND TRANSFORMATIONAL (FAST) GROWTH
-
28 Jul, 2023MPANGO WA TAIFA WA MAENDELEO 2023/2024
-
11 Jul, 2023Tanzania’s 2023 Voluntary National Review (VNR) Report on the Implementation of the 2030 Agenda for Sustainable Development
-
10 Jul, 2023Mpango wa Maendeleo wa Taifa 2021.22
-
17 Jan, 2023Mwongozo wa Kitaifa wa Ufuatiliaji na Tathmini ya Miradi na Programu za Maendeleo
-
21 Dec, 2022MAPENDEKEZO YA MPANGO WA MAENDELEO WA TAIFA WA MWAKA 2023-24 (2) (1) (1)
-
19 Dec, 2022REVISED STRATEGY FOR MANAGEMENT OF ARREARS
-
29 Nov, 2022PFMRP VI STRATEGY
-
View All
-
Government Budget Speeches
-
Ministry's Budget Speeches
-
17 Feb, 2023SPEECH OF GOVERNMENT BUDGET FOR 2022-23
-
14 Jun, 2022BUDGET SPEECH 2022-23 ENGLISH VERSION
-
08 May, 2022SPEECH OF GOVERNMENT BUDGET FOR 2021-22
-
08 May, 2022HOTUBA YA BAJETI KUU MWAKA 2021-22
-
08 May, 2022HOTUBA YA BAJETI KUU MWAKA 2021-22
-
07 May, 2022SPEECH OF GOVERNMENT BUDGET FOR 2020-21
-
07 May, 2022HOTUBA YA BAJETI KUU MWAKA 2020-21
-
06 May, 2022SPEECH OF GOVERNMENT BUDGET FOR 2019-20
-
06 May, 2022SPEECH OF GOVERNMENT BUDGET FOR 2018-19
-
06 May, 2022HOTUBA YA BAJETI KUU MWAKA 2018-19
-
View All
-
07 Jun, 2023Hotuba ya Wizara ya Fedha na Mipango ya Makadirio ya Mapato na matumizi 2023-24
-
17 Feb, 2023Hotuba ya Wizara ya Fedha na Mipango ya Makadirio ya Mapato na matumizi 2022-2023
-
17 Feb, 2023Hotuba ya Wizara ya Fedha na Mipango ya Makadirio ya Mapato na matumizi 2021 - 2022
-
17 Feb, 2023Hotuba ya Wizara ya Fedha na Mipango ya Makadirio ya Mapato na matumizi 2020 - 2021
-
17 Feb, 2023Hotuba ya Wizara ya Fedha na Mipango ya Makadirio ya Mapato na matumizi 2016 - 2017
-
17 Feb, 2023Hotuba ya Wizara ya Fedha na Mipango ya Makadirio ya Mapato na matumizi 2015 - 2016
-
17 Feb, 2023Hotuba ya Wizara ya Fedha na Mipango ya Makadirio ya Mapato na matumizi 2014- 2015
-
17 Feb, 2023Hotuba ya Wizara ya Fedha na Mipango ya Makadirio ya Mapato na matumizi 2006 - 2007
-
17 Feb, 2023Hotuba ya Wizara ya Fedha na Mipango ya Makadio ya Mapato na matumizi 2018-2019
-
17 Feb, 2023Hotuba ya Wizara ya Fedha na Mipango ya Makadio ya Mapato na matumizi 2017-2018
-
View All
-
24 Mar, 2025THE BUDGET EXECUTION REPORT FOR THE SECOND QUARTER OF 2024/25 (JULY TO DECEMBER 2024)
-
27 Dec, 2024THE BUDGET EXECUTION REPORT FOR THE FIRST QUARTER OF THE YEAR 2024/25
-
08 Nov, 2024BUDGET EXECUTION REPORT FOR THE FOURTH QUARTER_2023-24
-
31 May, 2024BUDGET EXECUTION REPORT QUATER 3- 2023-24
-
03 Apr, 2024BUDGET EXECUTION REPORT SECOND QUARTER FOR 2023_24
-
23 Jan, 2024BUDGET EXECUTION REPORT Q1 2023-24
-
28 Nov, 2023BUDGET EXECUTION REPORT FOR 2022_23 (JULY 2022 TO JUNE 2023)
-
31 May, 2023THE BUDGET EXECUTION REPORT FOR THE THIRD QUARTER OF 2022/23 (JULY 2022 TO MARCH 2023)
-
11 Apr, 2023THE BUDGET EXECUTION REPORT FOR THE SECOND QUARTER OF 2022/23
-
28 Nov, 2022THE BUDGET EXECUTION REPORT FOR THE FIRST QUARTER OF 2022/23 (JULY TO SEPTEMBER 2022)
-
View All
-
14 Nov, 2024KITABU CHA BAJETI YA SERIKALI KWA MWAKA 2024_25 TOLEO LA MWANANCHI
-
10 Oct, 2023GOVERNMENT BUDGET CITIZENS’ EDITION 2023/2024
-
04 Aug, 2023KEY POINTS OF TAX POLICIES IN THE 2023/24 BUDGET SPEECH - CITIZEN EDITION
-
26 Jul, 2023BUDGET INSIGHTS 2023_24
-
16 Aug, 2022Citizen Budget 2022_23 English
-
03 Mar, 2022GOVERNMENT BUDGET CITIZENS’ EDITION 2021/2022
-
02 Mar, 2022GOVERNMENT BUDGET CITIZENS’ EDITION 2020/2021
-
01 Mar, 2022GOVERNMENT BUDGET CITIZENS’ EDITION 2019/2020
-
28 Feb, 2022GOVERNMENT BUDGET CITIZENS’ EDITION 2018/2019
-
25 Feb, 2022GOVERNMENT BUDGET CITIZENS’ EDITION 2017/2018
-
View All
-
Budget Books 2024/2025
-
Budget Books 2023/2024
-
Budget Books 2022/2023
-
Budget Books 2021/2022
-
Budget Books 2020
-
Budget Books 2018/2019
-
Budget Books 2015/2016
-
Budget Books 2014/2015
-
23 Oct, 2024volume I 2024-25 as passed by Parliament
-
26 Aug, 2024Vol II Recurent Expenditure As Passed 202425
-
26 Aug, 2024Vol III Recurrent Expenditure As Passed 202425
-
26 Aug, 2024Vol IV Development Expenditure As Passed 2024_25-2
-
03 May, 2024Vol I Revenue Estimates as Submitted 2024.25
-
19 Apr, 2024Vol II Reccurent Expenditure As Submitted 2024.25
-
19 Apr, 2024Vol III Recurrent Expenditure As Submitted 2024.25
-
19 Apr, 2024Vol IV Development Expenditure As Submitted 2024.25
-
View All
-
02 May, 2025Volume II As Submitted 2025.26
-
02 May, 2025Volume III As Submitted 2025.26
-
02 May, 2025Volume IV As Submitted 2025.26
-
28 Aug, 2023Vol II Recurrent Expenditure As Passed 2023.24
-
28 Aug, 2023Vol III Recurrent Expenditure As Passed 2023.24
-
28 Aug, 2023Vol IV Development Expenditure As Passed 2023.24
-
04 Apr, 2023VOL II Recurrent Expenditure As Submitted 2023-24
-
04 Apr, 2023VOL III Recurrent Expenditure As Submitted 2023-24
-
04 Apr, 2023VOL IV Development Expenditure As Submitted 2023.24
-
View All
-
07 Nov, 2022VOLUME I REVENUE_ESTIMATES_2022_23 AS PASSED BY THE PARLIAMENT
-
10 Oct, 2022As Passed Volume II 2022_23
-
10 Oct, 2022As Passed Volume III 2022_23
-
10 Oct, 2022As passed Volume IV 2022_23
-
19 Jul, 2022Revenue_estimates_22_23
-
07 Jun, 2022VOLUME II As Submitted 2022_23
-
07 Jun, 2022VOLUME III As Submitted 2022_23
-
07 Jun, 2022VOLUME IV As Submitted 2022_23
-
View All
-
29 Jun, 2022VOLUME IV AS PASSED BY PARLIAMENT 2021.22
-
01 Jun, 2022VOLUME II AS PASSED BY PARLIAMENT 2021.22
-
31 May, 2022VOLUME III AS PASSED BY PARLIAMENT 2021.22
-
07 Mar, 2022VOLUME II ESTIMATES OF PUBLIC EXPENDITURES AS PASSED BY THE PARLIAMENT 2021.2022 (MINISTERIAL)
-
06 Mar, 2022VOLUME III ESTIMATES OF PUBLIC EXPENDITURES AS PASSED BY THE PARLIAMENT 2021.2022 (REGIONAL)
-
05 Mar, 2022VOLUME IV PUBLIC EXPENDITURE ESTIMATES DEVELOPMENT VOTES AS PASSED BY THE PARLIAMENT 2021.2022 (Ministerial and Regional Development Programmes)
-
04 Mar, 2022VOLUME I Financial Statement & Revenue Estimates for the year from 1 July 2021- to 30th June 2022
-
03 Mar, 2022VOLUME II Estimates of Public Expenditure Consolidated Fund Services and Supply Votes (Ministerial) - 2021.22
-
28 Feb, 2022VOLUME III Estimates of Public Expenditure Supply Votes (Regional) - 2021-22
-
27 Feb, 2022VOLUME IV Public Expenditure Estimates Development Votes (Ministerial and Regional Development Programmes ) - 2021.22
-
View All
- Content not found
-
03 Mar, 2022VOLUME I - FINANCIAL STATEMENT AND REVENUE ESTIMATES 2018-19
-
02 Mar, 2022volome II 2018_19
-
28 Feb, 2022Volume III 2018_19
-
27 Feb, 2022volome IV 2018_19
-
26 Feb, 2022KITABU CHA MKAKATI WA KUZIWEZESHA HALMASHAURI KUJITEGEMEA KIMAPATO
-
View All
-
03 Mar, 2022Volume II -as passed 2014-15
-
02 Mar, 2022Volume III -as passed 2014-15
-
01 Mar, 2022volume IV-as passed 2014-15
-
View All
- Content not found
- Content not found
-
13 Mar, 2023MAPENDEKEZO YA SERIKALI YA MPANGO WA MAENDELEO WA TAIFA WA MWAKA 2023/24 NA MFUMO NA UKOMO WA BAJETI YA SERIKALI KWA MWAKA 2023/24
-
17 Feb, 2023HOTUBA YA HALI YA UCHUMI WA TAIFA KATIKA MWAKA 2021 NA MPANGO WA MAENDELEO WA TAIFA WA MWAKA 2022-23
-
View All
-
11 May, 2023REPORT BY THOSE CHARGED WITH GOVERNANCE AND CONSOLIDATED FINANCIAL STATEMENTS FOR THE YEAR ENDED 30TH JUNE, 2022
-
25 Oct, 2022Financial statements and compliance audit of public debt and general service (vote 22) for the financial year ended 30 June 2021
-
25 Oct, 2022Financial statements of public debt and general services (vote 22) for the financial year ended 30 June, 2020
-
25 Oct, 2022Financial statements of public debt and general services (vote 22) for the financial year ended 30 June, 2019
-
10 Jun, 2022CONSOLIDATED FINANCIAL STATEMENTS 30 JUNE 2021
-
03 Mar, 2022Audited Consolidated Financial Statements for the year ended 30th June, 2020"
-
02 Mar, 2022Audited Consolidated Financial Statements for the year ended 30th June, 2019"
-
28 Feb, 2022Audited Consolidated Financial Statements for year ended 30th June, 2018
-
27 Feb, 2022Audited Consolidated Financial Statements for year ended 30th June, 2017
-
View All
-
06 Nov, 2024UFANISI WA MIFUKO NA PROGRAMU ZA SERIKALI ZA UWEZESHAJI WANANCHI KIUCHUMI
-
06 Nov, 2024MATOKEO YA HUDUMA ZA UWAKALA WA BENKI KATIKA UKUAJI WA SEKTA NDOGO YA BENKI TANZANIA
-
View All
-
17 Feb, 2023Enhanced-SP-Portal-User Manual
-
17 Feb, 2023GePG-Helpdesk-User-Manual
-
17 Feb, 2023GePG-LUKU-Portal-User-Manual
-
17 Feb, 2023GePG-POS-APP-USER-MANUAL
-
17 Feb, 2023GEPG-RECONCILIATION-TOOL-USER-MANUAL
-
View All
-
13 Jun, 2024HALI YA UCHUMI WA TAIFA KATIKA MWAKA 2023
-
28 Jul, 2023ECONOMIC SURVEY REPORT -2023-24
-
15 Jun, 2023ECONOMIC SURVEY 2023
-
14 Jun, 2023ECONOMIC SURVEY 2022.
-
14 Jun, 2023KITABU_CHA_HALI_YA_UCHUMI_WA_TAIFA_KATIKA_MWAKA_2022
-
14 Jun, 2022HALI YA UCHUMI WA TAIFA 2021
-
12 Jun, 2022Hali ya Uchumi wa Taifa 2020
-
28 Feb, 2022HALI YA UCHUMI WA TAIFA KATIKA MWAKA 2018
-
27 Feb, 2022HALI YA UCHUMI WA TAIFA KWA MWAKA 2017
-
View All
-
21 May, 2024MAREKEBISHO YA KANUNI ZA PPP 2023
-
21 May, 2024MAREKEBISHO YA SHERIA YA PPP, 2023
-
21 May, 2024MKAKATI WA UTEKELEZAJI WA SERA YA PPP
-
15 May, 2022Approved PPP Regulations, 2020
-
15 May, 2022PPP ACT RE 2018
-
15 May, 2022PPP Policy 2009
-
View All
SERIKALI KUENDELEA KUBORESHA MASLAHI YA WATUMISHI WA UMMA

Meza Kuu ikiongozwa na Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) ikiwa katika picha ya pamoja na ya wakuu wa Idara na Vitango wa Wizara hiyo katika Baraza la Wafanyakazi lililofanyika jijini Dodoma.
Serikali imeeleza kuwa itaendelea kuboresha maslahi ya watumishi wa umma na kuzifanyia kazi changamoto mbalimbali zinazowakabili Watumishi ili kutimiza ahadi ya Mhe. Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Hayo yameelezwa jijini Dodoma na Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) alipokuwa akifungua Baraza la Wafanyakazi wa Wizara hiyo.
Mhe. Nchemba alisema baadhi ya hatua zilizochukuliwa na Serikali ya Awamu ya Sita ni pamoja na kulipa malimbikizo ya mishahara kwa watumishi wa umma ambapo zaidi ya Sh. bilioni 34 zimeshalipwa.
“Serikali imetoa mikopo ya vyombo vya usafiri ya jumla ya takribani Sh. bilioni 79 ikiwa ni utekelezaji wa Waraka wa Watumishi wa Serikali Na. 3 wa mwaka 2011 kuhusu utaratibu wa kukopesha fedha taslimu watumishi wa Serikali ili kuwawezesha kununua magari/pikipiki, samani na matengenezo ya magari na pikipiki”, alisema Dkt. Nchemba.
Alisema Serkali imefanyia kazi suala la nyongeza ya mishahara kwa watumishi wa umma, viwango vya posho ya kujikimu na posho ya kufanya kazi baada ya masaa ya kazi pamoja na kupandisha vyeo watumishi.
Aidha, aliwataka watumishi wa Wizara ya Fedha na Mipango kufanyakazi kwa weledi, uzoefu, ubobezi, maadili na ukomavu katika utekelezaji wa majukumu yao kwa kuwa Wizara hiyo ni miongoni mwa Wizara nyeti za Serikali kutokana na muundo na majukumu yake.
“Hii ndio fursa ya kujimulika, kabla hatujaanza kuwanyooshea kidole wale tunaowapelekea fedha lazima sisi tuoneshe kwamba tunaweza kutunza fedha na tuonekane hivyo kwamba tunaweza kutunza fedha za umma”, alibainisha Dkt. Nchemba.
Alisema kwa kuwa Wizara hiyo ni moyo wa Serikali ni vyema watumishi wa Wizara ya Fedha wakawa mfano wa kubana matumizi kwa kuepuka matumizi yasiyo ya lazima kama ambavyo imekuwa ikisisitiza kwa Wizara na Taasisi nyingine kuhusu masula ya matumizi bora ya fedha za umma.
“Masuala mengi, na muhimu ya kitaifa yanaratibiwa na Wizara ya Fedha na Mipango, hususan miradi mikubwa ya kimkakati inayohitaji utafutaji wa rasilimali fedha, ni lazima wataalamu wetu washirikishwe katika kufanikisha masuala ya kitaifa”, alifafanua Mhe. Nchemba.
Aliwataka watumishi wa Wizara hiyo kutumia vizuri fursa mafunzo ya muda mfupi na mrefu inayotolewa na Wizara hiyo ikiwa ni pamoja na fursa ya ufadhili wa masomo zinazotolewa na nchi wahisani ili kujiendeleza na kupata maarifa zaidi.
“Mpango wa mafunzo ni lazima uzingatiwe na uwe shirikishi kwa watumishi wakati wa maandalizi na utekelezaji wake, mpango wa mafunzo siyo hiari ya kiongozi, ni haki ya mtumishi, hivyo, kila mtumishi apewe nafasi, hasa wale wa mikoani”, alifafanua Mhe. Nchemba.
Alisema hatarajii kusikia watumishi wenye vyeo vya chini kubaguliwa katika fursa za mafunzo kwa kuwa kila mtumishi ana mchango katika taasisi, hivyo kila mtumishi apewe nafasi ya kuongeza maarifa na ujuzi.
Aliagiza Wizara hiyo iwe inafanya vikao mara kwa mara na Wakuu wa Taasisi zilizo chini ya Wizara ya Fedha na Mipango ili kujenga jukwaa la kujadli na kubadilishana taarifa kuhusu masuala mbalimbali ya kiutendaji na kupatiwa taarifa ya utekelezaji wa vikao hivyo.
Kwa upande wake Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Hamad Hassan Chande (Mb) alitoa rai kwa watumishi wa Wizara hiyo kufanyakazi kwa bidii kwa maendeleo ya nchi huku akieleza kuwa kufanyakazi pia ni ibada.
Aliwapongeza watumishi na watendaji wote wa Wizara kwa kufanyakazi kwa juhudi na kubainisha kuwa anaamini baraza hilo litaleta matokeo chanya yanayohitajika katika jamii.
Mwisho.