Category Title

  • Government Budget Speeches
  • Ministry's Budget Speeches
  • Budget Books 2024/2025
  • Budget Books 2023/2024
  • Budget Books 2022/2023
  • Budget Books 2021/2022
  • Budget Books 2020
  • Budget Books 2018/2019
  • Budget Books 2015/2016
  • Budget Books 2014/2015
  • Content not found
  • Content not found
  • Content not found

NAIBU KATIBU MKUU WIZARA YA FEDHA AKUTANA NA UJUMBE KUTOKA BENKI YA ABSA GROUP NA NBC

19 Mar, 2025
NAIBU KATIBU MKUU WIZARA YA FEDHA AKUTANA NA UJUMBE KUTOKA BENKI YA ABSA GROUP NA NBC
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Bi. Amina Khamis Shaaban, akiagana na Mkuu wa Operesheni za Kikanda za Absa Group, Bw. Stephen Seaka, baada ya kikao chao kilichofanyika katika Ofisi za Wizara ya Fedha, Treasury Square, jijini Dodoma, ambapo wamejadiliana masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Serikali na Taasisi hizo za Fefha. Kikao hicho kilihudhuriwa pia na Kamishna Msaidizi Idara ya Usimamizi wa Deni la Serikali, Bi. Tiba Kisonga, Kamishna Msaidizi Idara ya Uendelezaji wa Sekta ya Fedha, Bi. Dionensia Mjema, na viongozi wengine waandamizi kutoka Wizara ya Fedha, Benki ya NBC na Absa Group.
 
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Bi. Amina Khamis Shaaban, amekutana na kufanya mazungumzo na ujumbe kutoka Benki ya Absa Group na Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), ukiongozwa na Mkuu wa Operesheni za Kikanda za Absa Group, Bw. Stephen Seaka, aliyeambatana pia na Mkuu wa Idara ya Biashara na Uwekezaji wa NBC, Bw. James Meitaron, ambapo wamejadiliana masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Serikali na Taasisi hizo za Fedha.
 
Kikao hicho kilihudhuriwa pia na Kamishna Msaidizi Idara ya Usimamizi wa Deni la Serikali, Bi. Tiba Kisonga, Kamishna Msaidizi Idara ya Uendelezaji wa Sekta ya Fedha, Bi. Dionensia Mjema, na viongozi wengine waandamizi kutoka Wizara ya Fedha na Benki hizo mbili.
 
MWISHO