Category Title
-
01 Mar, 2022The Microfinance (Saving and Credit Cooperative Societies) Regulations, 2019
-
01 Mar, 2022The Microfinance (Non- Deposit Taking Microfinance Service Providers) Regulations, 2019
-
28 Feb, 2022The Microfinance (Community Microfinance Groups) Regulations, 2019
-
View All
-
28 Feb, 2022MWONGOZO WA MAANDALIZI YA MPANGO NA BAJETI YA SERIKALI KWA MWAKA 2022/23
-
28 Feb, 2022MWONGOZO WA MAANDALIZI YA MPANGO NA BAJETI YA SERIKALI KWA MWAKA 2021/22
-
13 Nov, 2021Guidelines For Preparation of Plans and Budget 2020_21
-
12 Nov, 2021Guidelines For Preparation of Plans and Budget 2018_19
-
12 Nov, 2021Mwongozo 2018_19
-
12 Nov, 2021Mwongozo 2019_20
-
11 Nov, 2021Guidelines For Preparation of Plans and Budget 2017_18
-
05 Nov, 2021Budget Guideline 2008 - 09 Part II
-
05 Nov, 2021Budget Guideline 2008 - 09 Part I
-
05 Nov, 2021Budget Guideline 2009 - 10 Part II
-
View All
-
14 Jun, 2022Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Mwaka 2022.23
-
02 Mar, 2022Implementation Strategy for the National Development Plan 2016/17 – 2020/21 Volume IV - Communication strategy April, 2018.
-
01 Mar, 2022Implementation Strategy for the National Five - Year Development Plan 2016/17 – 2020/21 VOLUME II
-
28 Feb, 2022M&E Strategy of the 2nd FYDP
-
27 Feb, 2022The Action Plan of Implementation of the 2nd FYDP
-
View All
-
14 Jun, 2022SPEECH OF GOVERNMENT BUDGET FOR 2022-23 ENGLISH VERSION
-
01 Mar, 2022BUDGET SPEECH ENGLISH - 2021/22
-
28 Feb, 2022BUDGET SPEECH ENGLISH
-
View All
-
02 Jun, 2022THE BUDGET EXECUTION REPORT FOR THE THIRD QUARTER OF 2021/22 (JANUARY - MARCH 2022)
-
30 Apr, 2022THE BUDGET EXECUTION REPORT FOR THE SECOND QUARTER OF 2021/22
-
29 Apr, 2022BER Q1 2021- 22-FINAL
-
02 Mar, 2022THE BUDGET EXECUTION REPORT 2020/21 (JULY 2020 TO JUNE 2021)
-
01 Mar, 2022Budget Execution Report (BER) for the First Quarter of 2020-21
-
01 Mar, 2022The Budget Execution Report for the Second Quarter of 2020/21
-
01 Mar, 2022The Budget Execution Report for the Third Quarter of 2020/21
-
28 Feb, 2022THE BUDGET EXECUTION REPORT FOR THE THIRD QUARTER OF 2018/19 (JANUARY – MARCH, 2019)
-
01 Jan, 2022Budget Execution Report for the First Quarter 2019-20
-
01 Jan, 2022Budget Execution Report for the Forth Quarter 2018-19
-
View All
-
03 Mar, 2022GOVERNMENT BUDGET CITIZENS’ EDITION 2021/2022
-
02 Mar, 2022GOVERNMENT BUDGET CITIZENS’ EDITION 2020/2021
-
01 Mar, 2022GOVERNMENT BUDGET CITIZENS’ EDITION 2019/2020
-
28 Feb, 2022GOVERNMENT BUDGET CITIZENS’ EDITION 2018/2019
-
25 Feb, 2022GOVERNMENT BUDGET CITIZENS’ EDITION 2017/2018
-
20 Feb, 2022GOVERNMENT BUDGET CITIZENS’ EDITION 2016/2017
-
View All
-
Budget Books 2022/2023
-
Budget Books 2021/2022
-
Budget Books 2020
-
Budget Books 2018/2019
-
Budget Books 2015/2016
-
Budget Books 2014/2015
-
Economic Survey Books
-
19 Jul, 2022Revenue_estimates_22_23
-
07 Jun, 2022VOLUME II As Submitted 2022_23
-
07 Jun, 2022VOLUME III As Submitted 2022_23
-
07 Jun, 2022VOLUME IV As Submitted 2022_23
-
View All
-
29 Jun, 2022VOLUME IV AS PASSED BY PARLIAMENT 2021.22
-
01 Jun, 2022VOLUME II AS PASSED BY PARLIAMENT 2021.22
-
31 May, 2022VOLUME III AS PASSED BY PARLIAMENT 2021.22
-
07 Mar, 2022VOLUME II ESTIMATES OF PUBLIC EXPENDITURES AS PASSED BY THE PARLIAMENT 2021.2022 (MINISTERIAL)
-
06 Mar, 2022VOLUME III ESTIMATES OF PUBLIC EXPENDITURES AS PASSED BY THE PARLIAMENT 2021.2022 (REGIONAL)
-
05 Mar, 2022VOLUME IV PUBLIC EXPENDITURE ESTIMATES DEVELOPMENT VOTES AS PASSED BY THE PARLIAMENT 2021.2022 (Ministerial and Regional Development Programmes)
-
04 Mar, 2022VOLUME I Financial Statement & Revenue Estimates for the year from 1 July 2021- to 30th June 2022
-
03 Mar, 2022VOLUME II Estimates of Public Expenditure Consolidated Fund Services and Supply Votes (Ministerial) - 2021.22
-
28 Feb, 2022VOLUME III Estimates of Public Expenditure Supply Votes (Regional) - 2021-22
-
27 Feb, 2022VOLUME IV Public Expenditure Estimates Development Votes (Ministerial and Regional Development Programmes ) - 2021.22
-
View All
- Content not found
-
03 Mar, 2022VOLUME I - FINANCIAL STATEMENT AND REVENUE ESTIMATES 2018-19
-
02 Mar, 2022volome II 2018_19
-
28 Feb, 2022Volume III 2018_19
-
27 Feb, 2022volome IV 2018_19
-
26 Feb, 2022KITABU CHA MKAKATI WA KUZIWEZESHA HALMASHAURI KUJITEGEMEA KIMAPATO
-
View All
-
03 Mar, 2022Volume II -as passed 2014-15
-
02 Mar, 2022Volume III -as passed 2014-15
-
01 Mar, 2022volume IV-as passed 2014-15
-
View All
-
14 Jun, 2022HALI YA UCHUMI WA TAIFA 2021
-
02 Mar, 2022Mpango wa Maendeleo wa Taifa 2021.22
-
28 Feb, 2022KITABU CHA HALI YA UCHUMI WA TAIFA KATIKA MWAKA 2018
-
27 Feb, 2022KITABU CHA HALI YA UCHUMI WA TAIFA KWA MWAKA 2017
-
View All
- Content not found
- Content not found
-
14 Jun, 2022HOTUBA YA HALI YA UCHUMI WA TAIFA KATIKA MWAKA 2021 NA MPANGO WA MAENDELEO WA TAIFA WA MWAKA 2022-23
-
14 Jun, 2022BUDGET SPEECH 2022-23 ENGLISH VERSION
-
View All
-
10 Jun, 2022CONSOLIDATED FINANCIAL STATEMENTS 30 JUNE 2021
-
03 Mar, 2022Audited Consolidated Financial Statements for the year ended 30th June, 2020"
-
02 Mar, 2022Audited Consolidated Financial Statements for the year ended 30th June, 2019"
-
28 Feb, 2022Audited Consolidated Financial Statements for year ended 30th June, 2018
-
27 Feb, 2022Audited Consolidated Financial Statements for year ended 30th June, 2017
-
View All
DKT. NCHEMBA AWAHIMIZA WAKUU WA MIKOA KUSIMAMIA SENSA KIKAMILIFU

Na. Saidina Msangi, WFM, Dodoma
Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, (Mb), amewataka wakuu wa mikoa nchini kusimamia kikamilifu zoezi la sensa ya watu na makazi ili kuwezesha kupatikana kwa takwimu sahihi zitakazosaidia Serikali katika upangaji wa mipango ya maendeleo.
Maagizo hayo aliyatoa wakati akifunga mafunzo ya siku 21 kwa Wakufunzi wa Sensa ya Watu na Makazi ngazi ya mkoa Kitaifa katika ukumbi wa Jakaya Kikwete, jijini Dodoma.
Alisema kuwa Serikali imedhamiria kujenga uchumi endelevu na kupunguza umaskini kwa wananchi hivyo matokeo ya Sensa hiyo ndio dira ya kupanga mipango ya maendeleo endelevu ya wananchi.
“Mkuu wa Mkoa ambaye Mkoa wake watu hawatashiriki ipasavyo kuhesabiwa ajue kuwa mipango ya maendeleo ya mkoa wake haitaenda sambamba na idadi ya watu waliopo, mfano huduma za shule, maji, afya, umeme hazitatolewa kuendana na uwiano wa watu waliopo na hatutegemei kuona hili jambo likitokea katika utekelezaji wa Sensa hii” alisisitiza Dkt. Nchemba.
Alisisitiza kuwa zoezi la Sensa ya Watu na Makazi ni zoezi la Kitaifa na Kimataifa hivyo ni muhimu kulitekeleza kwa ufanisi wa hali ya juu kwa lengo la kutekeleza matakwa ya Umoja wa Mataifa ambapo Tanzania ni Wanachama.
Aidha, Dkt.Nchemba aliwapongeza washiriki wa mafunzo hayo kwa kuwa miongoni mwa watu 11,000 kati ya mamilioni ya Watanzania ambao wangeweza kuchaguliwa kushiriki mafunzo hayo na kuwaasa kutekeleza majukumu yao ipasavyo.
“Nina Imani elimu mliyoipata mtaipeleka ipasavyo katika ngazi ya makarani na wasimamizi kwa lengo la kuwapata makarani ambao watakusanya taarifa za kitakwimu zinazokidhi vigezo vyote vya Kanuni za Umoja wa Mataifa’, Alisema Dkt. Nchemba.
Dkt. Nchemba alitoa rai kwa wananchi wote kushiriki kikamilifu katika zoezi la Sensa ya Watu na Makazi Agosti 23 mwaka huu ya kidigitali na inaunganisha mazoezi mawili makubwa ya kitaifa ambayo Sensa ya Majengo yote Nchini, na Sensa ya Anwani za Makazi, ili kuiwezesha Serikali kupata takwimu zitakazosaidia katika upangaji wa bajeti na mipango yha maendeleo.
Kwa upande wake Kamisaa wa Sensa ya Watu na Makazi Mhe. Anna Makinda, aliwaasa Wakufunzi hao wanapoenda kutoa elimu kwa makarani wa sensa kuzingatia sifa za washiriki na kutosita kuchukua hatua kwa washiriki wasio na sifa.
Naye Mtakwimu Mkuu wa Serikali Ofisi yha Taifa ya Takwimu (NBS) Dkt. Albina Chuwa, alisisitiza umuhimu wa zoezi la sensa ya watu na makazi kwamba ni matakwa la kisheria na pia ni makubaliano ya Umoja wa Mataifa na inatumika kuipima nchi katika utekelezaji wa malengo ya maendeleo endelevu.
Mafunzo hayo yaliyoratibiwa na NBS ambapo lengo lake lilikuwa kujenga uelewa mpana na wa pamoja kwa wahusika kupata kanuni na mbinu bora za namna ya kukusanya taarifa za kitakwimu nchi nzima kwa kufuata Kanuni za Umoja wa Mataifa.
Aidha, Wahitimu hao wanatarajiwa kwenda kufundisha Makarani na Wasimamizi wa sensa ya watu na makazi wapatao 205,000 kwa Nchi nzima.
Mwisho