Category Title

  • Government Budget Speeches
  • Ministry's Budget Speeches
  • Budget Books 2024/2025
  • Budget Books 2023/2024
  • Budget Books 2022/2023
  • Budget Books 2021/2022
  • Budget Books 2020
  • Budget Books 2018/2019
  • Budget Books 2015/2016
  • Budget Books 2014/2015
  • Content not found
  • Content not found
  • Content not found

DKT. NCHEMBA AUNGANA NA BAADHI YA MAWAZIRI MKUTANO WA 46 WA EAC

07 Dec, 2024
DKT. NCHEMBA AUNGANA NA BAADHI YA MAWAZIRI MKUTANO WA 46 WA EAC

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), ameungana na baadhi ya Mawaziri wa kisekta wa Tanzania kushiriki Mkutano wa 46 wa Baraza la Mawaziri la Jumuiya ya Afrika Mashariki, unaofanyika Makao Makuu ya Jumuiya hiyo, Jijini Arusha, ambapo mawaziri wamejadiliana masuala mbalimbali yanayohusu Uchumi na biashara ikiwa ni maandalizi ya Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki unaotarajiwa kufanyika tarehe 30 Novemba 2024, jijini humo.