Category Title

  • Government Budget Speeches
  • Ministry's Budget Speeches
  • Budget Books 2024/2025
  • Budget Books 2023/2024
  • Budget Books 2022/2023
  • Budget Books 2021/2022
  • Budget Books 2020
  • Budget Books 2018/2019
  • Budget Books 2015/2016
  • Budget Books 2014/2015
  • Content not found
  • Content not found
  • Content not found

DKT. NCHEMBA AKUTANA NA UMOJA WA MABENKI TANZANIA (TBA).

13 Oct, 2024
DKT. NCHEMBA AKUTANA NA UMOJA WA MABENKI TANZANIA (TBA).
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba(Mb) akizungumza katika kikao chake na Umoja wa Mabenki Tanzania (TBA), ofisini kwake jijini Dodoma, ambapo walijadili kuhusu mchango wa Sekta ya Benki katika uchumi wa nchi kupitia huduma za fedha jumuishi. Kushoto ni Mwenyekiti wa TBA, Bw. Theobald Sabi
 
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb), amekutana na kufanya mazungumzo na Umoja wa Mabenki Tanzania (TBA),  jijini Dodoma, ambapo walijadili kuhusu mchango wa Sekta ya Benki katika uchumi wa nchi kupitia huduma jumuishi za kifedha. Kikao hicho kilihudhuriwa na Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba, Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Bw. Elijah Mwandumbya, Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, (BoT), Bw. Emmanuel Tutuba, wakati ujumbe wa TBA uliongozwa Mwenyekiti wake, Bw.  Theobald Sabi. 
 
MWISHO