Category Title

  • Government Budget Speeches
  • Ministry's Budget Speeches
  • Budget Books 2024/2025
  • Budget Books 2023/2024
  • Budget Books 2022/2023
  • Budget Books 2021/2022
  • Budget Books 2020
  • Budget Books 2018/2019
  • Budget Books 2015/2016
  • Budget Books 2014/2015
  • Content not found
  • Content not found
  • Content not found

DKT. NCHEMBA AKUTANA NA MKURUGENZI MTENDAJI WA BENKI YA TCB

07 Jun, 2024
DKT. NCHEMBA AKUTANA NA MKURUGENZI MTENDAJI WA BENKI YA TCB

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) (kulia) akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya TCB, Bw. Adam Mihayo, ambapo walijadili kuhusu maendeleo ya Benki hiyo na mchango wake katika maendeleo ya Taifa, Ofisini kwa Waziri wa Fedha Treasury Square, jijini Dodoma.

 

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya TCB, Bw. Adam Mihayo, ambapo walijadili kuhusu maendeleo ya Benki hiyo na mchango wake katika maendeleo ya Taifa.

Mkutano huo umefanyika Ofisini kwa Waziri wa Fedha Treasury Square, jijini Dodoma. ambapo Waziri wa Fedha ameipongeza Benki hiyo kwa mafanikio inayoendelea kuyapata ikiwemo kutengeneza faida katika biashara ya sekta ya fedha.