Category Title

  • Government Budget Speeches
  • Ministry's Budget Speeches
  • Budget Books 2024/2025
  • Budget Books 2023/2024
  • Budget Books 2022/2023
  • Budget Books 2021/2022
  • Budget Books 2020
  • Budget Books 2018/2019
  • Budget Books 2015/2016
  • Budget Books 2014/2015
  • Content not found
  • Content not found
  • Content not found

CHALINZE YAFIKIWA NA ELIMU YA FEDHA

06 Sep, 2024
CHALINZE YAFIKIWA NA ELIMU YA FEDHA

Afisa Usimamizi wa Fedha Mwandamizi wa Wizara ya Fedha, Bi. Mary Mihigo, (mwenye sare), akifafanua jambo kwa wananchi mara baada ya kukamilika kwa programu ya elimu ya fedha kwa wananchi inayotekelezwa na Wizara ya Fedha, iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Halmashauri ya Chalinze. 

 

Timu ya Wataalamu kutoka Wizara ya Fedha, imefika Halmashauri ya Chalinze Mkoani Pwani kwa ajili ya kutoa elimu ya fedha kwa wananchi itakayo wawezesha kuepukana na mikopo umiza pamoja na kujifunza kuhusu riba, mikopo, dhamana  na uwekezaji.