Category Title

  • Government Budget Speeches
  • Ministry's Budget Speeches
  • Budget Books 2024/2025
  • Budget Books 2023/2024
  • Budget Books 2022/2023
  • Budget Books 2021/2022
  • Budget Books 2020
  • Budget Books 2018/2019
  • Budget Books 2015/2016
  • Budget Books 2014/2015
  • Content not found
  • Content not found
  • Content not found

Naomba kufahamu utaratibu wa kujisajili katika Mfumo wa GAMIS PORTAL

Mwombaji wa Leseni ataingia katika tovuti ya Wizara ya Fedha (www.mof.go.tz) na kisha kuponyeza GAMIS Portal kwenye Quick Links.

Kujisajili mara ya kwanza bonyeza Create Account.Jaza taarifa zinazohitajika kwenye ukurasa wa Registration kisha bonyeza Register.