• Mawaziri na Magavana EAC kuwezesha sekta binafsi

  Majadiliano yakiendelea kuhusu namna Serikali zinavyoweza kushirikiana na Sekta Binafsi mjini Washington DC.

 • Mawaziri na Magavana EAC kuwezesha sekta binafsi

  Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip I. Mpango akibadilishana mawazo na Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Wilson Masilingi (kulia).

 • Ufafanuzi wa Pensheni Wastaafu wa Shirika la Posta na Simu

  Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb)

 • Mafuriko Jangwani kupatiwa ufumbuzi

  Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) akisikiliza majadiliano katika mkutano wa SADC.

 • Mafuriko Jangwani kupatiwa ufumbuzi

  Baadhi ya Mawaziri wa Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika(SADC) wakiwa Washington.

 • Dkt. Mpango akutana na Mkurugenzi Mtendaji WB- Kanda ya Afrika

  Picha ya pamoja ya wajumbe walioshiriki majadiliano ya Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango WB- Washington

 • Dkt. Mpango akutana na Mkurugenzi Mtendaji WB- Kanda ya Afrika

  Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip I. Mpango, akitoa ufafanuzi WB.

 • Mkopo wa Dola milioni 65 wa Kagera Sugar wawekezwa nchini

  Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb)

 • Tanzania na Kuwait wasaini rasimu ya Mkataba wa Mkopo wa Dola. 15.3

  Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango katika mazungumzo na ujumbe wa Mfuko wa Kuwait

 • Tanzania na Kuwait wasaini rasimu ya Mkataba wa Mkopo wa Dola. 15.3

  Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango katika picha ya pamoja na Ujumbe kutoka Mfuko wa Kuwait.

 • Tanzania na Kuwait wasaini rasimu ya Mkataba wa Mkopo wa Dola. 15.3

  Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango, akiagana na Kiongozi wa ujumbe Mfuko wa Kuwait, Dkt. Abdulrida Bahman

 • Tanzania na Kuwait wasaini rasimu ya Mkataba wa Mkopo wa Dola. 15.3

  Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango Dkt. Khatibu Kazungu na Mshauri wa Masuala ya Kilimo wa Mfuko wa Kuwait wakibadilishana rasimu ya mkataba.  

 • Serikali kutovunja mkataba na kiwanda cha chai

  Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji

 • Tanzania yapata mkopo wa Sh. bilioni 34 kutoka Mfuko wa Maendeleo wa Abu Dhabi

  Katibu Mkuu TAMISEMI, Mhandisi Mussa Ibrahim Iyombe na Mkurugenzi Mkuu wa Maendeleo wa Abu Dhabi, Mhe. Saif Al Suwaidi, wakibadilishana mkataba

 • Tanzania yapata mkopo wa Sh. bilioni 34 kutoka Mfuko wa Maendeleo wa Abu Dhabi

  Katibu Mkuu TAMISEMI, Mhandisi Mussa Ibrahim Iyombe na Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Maendeleo wa Abu Dhabi, Mhe. Saif Al Suwaidi, wakisaini mkataba.

 • Tanzania yapata mkopo wa Sh. bilioni 34 kutoka Mfuko wa Maendeleo wa Abu Dhabi

  Katibu Mkuu TAMISEMI, Mhandisi Mussa Iyombe, akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Maendeleo wa Abu Dhabi, Mhe. Saif Al Suwaidi

 • Kuwait kuing'arisha Dodoma kwa barabara

  Balozi wa Kuwait nchini Tanzania Mhe. Jassem Al-Najem (kulia) akimkabidhi zawadi Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango Mjini Dodoma.

 • Kuwait kuing'arisha Dodoma kwa barabara

  Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango akizungumza na Balozi wa Kuwait nchini Tanzania Mhe. Jassem Al-Najem Mjini Dodoma

 • Dkt. Mpango ateta na Mkurugenzi UNIDO

  Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Isdor Mpango (wa tatu kushoto) akiongoza Mkutano wakati wa ujio wa ujumbe wa UNIDO.

 • Dkt. Mpango ateta na Mkurugenzi UNIDO

  Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Isdor Mpango (kushoto) akimlaki Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la UNIDO, Bw. Li Yong