Uchumi wa Dunia umerudi katika hali yake ya kawaida na tunategemea uchumi kukua hadi kufikia asilimia 4.2 kwa mwaka 2010. Kauli hiyo ilitolewa na Mshauri wa Uchumi wa Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) na Mkurugenzi wa Idara ya Utafiti Bw. Oliver Blanchard wakati akiongea na waandishi wa habari mjini Washington DC. Soma zaidi..
Last Updated ( Friday, 23 April 2010 )
MIKOPO KUHATARISHA UCHUMI
Sera imara zimewekwa ili uchumi kuwa imara na madhubuti zaidi ya tulivyotegemea. Hayo yamesemwa na Mkurugenzi wa Idara ya Fedha na Masoko ya Mitaji wa Shirika la Fedha la Kimataifa Bw. Vinals Jose alipokuwa akiongea na Waandishi wa habari mjini Washington DC. Soma zaidi..
BENKI YA DUNIA YAFUNGUA MILANGO
Benki ya Dunia yatangaza kufungua milango katika taarifa za Takwimu, hayo yamesemwa na Rais wa Benki ya Dunia Bw. Robert Zoellick wakati wa ufunguzi wa Mkutano huo mjini Washington. Soma zaidi..
Last Updated ( Wednesday, 21 April 2010 )
Maandalizi ya Uzinduzi wa MKUKUTA awamu ya Plii
Maoni yameanza kukusanywa kutoka kwa wananchi kwa ajili ya uzinduzi wa MKUKUTA awamu ya Plii, hayo yamesemwa na Waziri wa Fedha na Uchumi Mh. Mustafa Mkulo wakati wa uzinduzi huo mkoani Dodoma. Soma zaidi..
Last Updated ( Tuesday, 20 April 2010 )
Kilosa yapata msaada
Rais Kikwete amkabidhi Waziri Mkulo misaada ya waathirika wa mafuriko Kilosa. Soma zaidi..
Tender No. ME/004/2009-10/HQ/G/8 for Supply of ICT Equipment for IAA. Invitation for Bids.Read more
Awarded Tenders for Financial Year 2009/2010 Mid Year Review. Read more..
Mwaliko kwa Wadau wa kushiriki katika shughuli za Kamati ya Sera za Kodi (Task Force on Task Reform) kwa ajili ya Matayarisho ya Bajeti ya 2010/11. Soma zaidi..
Invitation to Stakeholder to participate in the upcoming proceeding of the Task Force on Tax Reform in preparation for Budget 2010/11. Read more..
Tender No.ME/004/2009-10/HQ/G/2 for Supply of Various Office Equipment. Read more..
Tender No.ME/004/2009-10/HQ/G/3 for Supply of Various Office Furniture. Read more..
TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI KWA WAHASIBU II, WAHASIBU WASAIDIZI, WASAIDIZI WA HESABU, WAKAGUZI WA NDANI II NA WAKAGUZI WA NDANI WASAIDIZI. Soma zaidi..