MALENGO YA MILENIA YANATEKELEZWA KWA KASI KUBWA - UNDP.
Tanzania imepiga hatua kubwa katika utekelezaji wa Malengo ya Milenia (MDG) na nchi imepata mafanikio makubwa katika sekta ya elimu. Soma zaidi..
Last Updated ( Thursday, 13 May 2010 )
MFUKO WA JIMBO MGAWANYO WA KWANZA
Mgawanyo wa Kwanza wa Mfuko wa Maendeleo wa Jimbo. Soma zaidi..
MGAO WA FEDHA ZA MATUMIZI YA KAWAIDA (OC) MWEZI APRILI 2010
Mgao wa Fedha za matumizi ya kawaida (OC) Halmashauri za Wilaya za Wilaya (LGA) Mwezi Aprili 2010. Soma Zaidi..
Last Updated ( Monday, 10 May 2010 )
AFRIKA YAZUNGUMZIA MTIKISIKO WA UCHUMI
Watu wenye kipato cha chini wameathirika zaidi na Mtikisiko wa Uchumi kwa kuwa hutegemea sana kuuza bidhaa ambazo zinatokana na misitu na kilimo. Kauli hiyo imetolewa na Mawaziri wa Fedha kutoka nchi za Cameroon, Jamhuri ya Watu wa Congo, Liberia na Uganda wakati wakizungumza na waandishi wa habari mjini Washington DC. Soma zaidi..
AFRIKA KUWA NA SERA MADHUBUTI
Pamoja na kuwa uchumi wa dunia unaendelea kukua, uchumi katika eneo letu ungepaswa kuendelea na mpaka kufikia mwaka 2011 uchumi utakuwa asilimia 5.75. Hayo yamesemwa na Bi. Antoinelle Monsio Sayed, Mkurugenzi wa Idara ya Afrika katika Shirika la Fedha la Kimataifa. Soma zaidi..
Tender No. ME/004/2009-10/HQ/G/8 for Supply of ICT Equipment for IAA. Invitation for Bids.Read more
Awarded Tenders for Financial Year 2009/2010 Mid Year Review. Read more..
Mwaliko kwa Wadau wa kushiriki katika shughuli za Kamati ya Sera za Kodi (Task Force on Task Reform) kwa ajili ya Matayarisho ya Bajeti ya 2010/11. Soma zaidi..
Invitation to Stakeholder to participate in the upcoming proceeding of the Task Force on Tax Reform in preparation for Budget 2010/11. Read more..
Tender No.ME/004/2009-10/HQ/G/2 for Supply of Various Office Equipment. Read more..
Tender No.ME/004/2009-10/HQ/G/3 for Supply of Various Office Furniture. Read more..
TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI KWA WAHASIBU II, WAHASIBU WASAIDIZI, WASAIDIZI WA HESABU, WAKAGUZI WA NDANI II NA WAKAGUZI WA NDANI WASAIDIZI. Soma zaidi..