Tanzania will receive a contribution of 30 million Euros to support WSDP
The Permanent Secretary to the Ministry of Finance and Economic Affairs, Mr. Ramadhani Kijjah said the contribution will help to implement the Water Sector Development Programme in achieving the Government goals to improve the provision of clean water to rural communities. Read more..
JAPAN YAIPATIA TANZANIA MSAADA WA SHILINGI BILIONI 74
Serikali ya Japan imetoa msaada wa shilingi bilioni 74, kwa ajili ya ujenzi wa barabara ya Mwenge hadi Tegeta. Soma Zaidi..
Last Updated ( Wednesday, 02 June 2010 )
KABERUKA AWA RAIS WA BENKI YA MAENDELEO YA AfDB KWA MARA NYINGINE
Mafanikio na Maendeleo makubwa ambayo ameyaleta katika benki ya AfDB yamepelekea Bw. Kaberuka kuchaguliwa tena. Soma zaidi..
Last Updated ( Monday, 31 May 2010 )
RAIS JAKAYA M. KIKWETE AMEMUAPISHA DR. S. B. LIKWELILE KUWA NAIBU KATIBU MKUU - HAZINA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Jakaya M. Kikwete leo (Ikulu) amemuapisha Dr. Servacius B. Likwelile kuwa Naibu Katibu Mkuu - Wizara ya Fedha na Uchumi.
Last Updated ( Saturday, 29 May 2010 )
MAELEZO YA WAZIRI WA FEDHA NA UCHUMI MHE. MUSTAFA H. MKULO (MB) - KWA KAMATI YA BUNGE
Maelezo ya Waziri wa Fedha na Uchumi, Mheshimiwa Mustafa H. Mkulo (MB) Kwa Kamati ya Bunge ya Fedha na Uchumi kuhusu taarifa ya hali ya uchumi wa taifa kwa mwaka 2009 na muelekeo katika kipindi cha muda wa kati (2010/11 - 2012/13). Soma zaidi..
Tender No. ME/004/2009-10/HQ/G/8 for Supply of ICT Equipment for IAA. Invitation for Bids.Read more
Awarded Tenders for Financial Year 2009/2010 Mid Year Review. Read more..
Mwaliko kwa Wadau wa kushiriki katika shughuli za Kamati ya Sera za Kodi (Task Force on Task Reform) kwa ajili ya Matayarisho ya Bajeti ya 2010/11. Soma zaidi..
Invitation to Stakeholder to participate in the upcoming proceeding of the Task Force on Tax Reform in preparation for Budget 2010/11. Read more..
Tender No.ME/004/2009-10/HQ/G/2 for Supply of Various Office Equipment. Read more..
Tender No.ME/004/2009-10/HQ/G/3 for Supply of Various Office Furniture. Read more..
TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI KWA WAHASIBU II, WAHASIBU WASAIDIZI, WASAIDIZI WA HESABU, WAKAGUZI WA NDANI II NA WAKAGUZI WA NDANI WASAIDIZI. Soma zaidi..