Mhe. Naibu Waziri wa Fedha na Uchumi akiwasilisha hoja Bungeni.
Maelezo ya Naibu Waziri wa Fedha na Uchumi Mhe. Jeremiah S. Sumari (Mb) wakati akichangia majumuisho ya Waheshimiwa wabunge kuhusu mwongozo wa utayarishaji wa mpango na Bajeti ya Serikali kwa kipindi cha 2010/11-2013. Soma zaidi..