Events
News
Announcement
Chuo cha Mipango Dodoma kupewa Misaada

Na Msemaji wa Wizara ya Fedha na Uchumi 

ImageWaziri wa Fedha na Uchumi Mh. Mustafa Mkulo ameutaka uongozi wa Chuo cha Mipango Dodoma kuandika mapendekezo ya sehemu nyeti zinazohitaji misaada ili kukiendeleza Chuo hicho. Hayo aliyasema alipotembelea Chuo hicho. Soma zaidi..

 

 

Maoni

Tuambie kuhusu Huduma zinazotelewa na Wizara ya Fedha tangu tupate Uhuru wa Tanzania Bara
 
Main page Contacts Search Contacts Search