Ministry of Finance
Mkulo Commends Africa China Trade Partnership
ImageThe Minister for Finance and Economic Affairs Hon. Mustafa Mkulo recently welcomed the Vice President of the United Republic of Tanzania Dr. Ali Mohamed Shein to open ceremony of China Africa Business forum intended to provide enabling environment for enterpreneurs from the two Regions to explore trade and investment opportunities. Read more ..
 
Mkulo says Tanzanian Domestic Revenue on Good Footing
ImageThe Minister for Finance and Economic Affairs Hon. Mustafa Mkulo said Tanzania Domestic Revenue has been strong and the Government tax policy and tax administration is producing very encouraging results. Read more ..
 
Tathmini yahitajika kuboresha Vipindi vya Elimu kwa Umma
ImageKatibu Mkuu wa Wizara ya Habari na Utamaduni Bi Kijazi Rajabu Mtengwa hivi karibuni alifunga mkutano wa 88 wa Watayarishaji wa vipindi vya Elimu kwa Umma, uliokuwa chini ya uenyekiti wa Wizara ya Fedha na Uchumi na kuwataka Watayarishaji wa vipindi hivyo kutathmini kwa makini vipindi vyao vinavyorushwa kupitia Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC). Soma ..
 
Wizara ya Fedha na Uchumi yawasilisha Mswada wa Marekebisho ya Sheria mbalimbali za fedha
ImageNaibu Waziri wa Fedha na Uchumi Mhe. Omary Yusuf Mzee (MB) hivi karibuni aliwasilisha Bungeni mswada wa Marekebisho ya Sheria mbalimbali za fedha. Soma ...
 
Waziri wa Fedha na Uchumi awataka waandaaji wa vipindi vya Elimu kwa Umma kutoa taarifa za uhakika
ImageWaziri wa Fedha na Uchumi Mh. Mstafa Mkulo hivi karibuni alifungua mkutano wa 88 wa waandaaji wa vipindi vya elimu kwa umma na kuwataka waandaaji wa habari hizo kutoa taarifa za uhakika na zilizofanyiwa utafiti. Habari Zaidi ...
 
<< Start < Prev 71 72 73 74 75 76 77 78 79 80 Next > End >>

Page 75 of 91

Contact to Ministry of Finance
Permanent Secretary,
Ministry of Finance,
P.O.Box 9111,
Dar es salaam.
Phone: +255 22 2111174-6.
Fax: +255 22 2110326