Home
  • Mhe. Paul M. Bomani
    Mhe. Paul M. Bomani
    1962 - 1965
  • Mhe. Amir H. Jamal
    Mhe. Amir H. Jamal
    1966 - 1972, 1976 - 1977, 1982
  • Mhe. Cleopa D. Msuya
    Mhe. Cleopa D. Msuya
    1974 - 1975, 1986 - 1989
  • Mhe. Edwin Mtei
    Mhe. Edwin Mtei
    1978 - 1981
  • Prof. Kighoma A. Malima
    Prof. Kighoma A. Malima
    1983 - 1985, 1993 - 1994
  • Mhe. Steven A. Kibona
    Mhe. Steven A. Kibona
    1990 - 1993
  • Mhe. Jakaya M. Kikwete
    Mhe. Jakaya M. Kikwete
    1994 - 1995
  • Prof. Simon M. Mbilinyi
    Prof. Simon M. Mbilinyi
    1995 - 1996
  • Mhe. Daniel N. Yona
    Mhe. Daniel N. Yona
    1997 - 2000
  • Mhe. Basil P. Mramba
    Mhe. Basil P. Mramba
    2001 - 2005
  • Mhe. Zakia H. Meghji
    Mhe. Zakia H. Meghji
    2005 - 2007
  • Mhe. Mustapha Haidi Mkulo
    Mhe. Mustapha Haidi Mkulo
    2008 - Mpaka sasa
  • Mishahara
    Mishahara
    Maboresho katika Malipo ya Mishahara
  • SACCOS
    SACCOS
  • Sir.Ernest Vassey
    Sir.Ernest Vassey
    Waziri wa Fedha wa Kwanza.
Tovuti Maalum ya Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 50 - Wizara ya Fedha
Historia Fupi ya Wizara ya Fedha PDF Print E-mail

Wizara ya Fedha ni moja kati ya Wizara zilizoanzishwa mara baada ya kupata Uhuru mwaka 1961. Serikali ya Kwanza iliyoundwa baada ya kupata Uhuru ilianza kutekeleza majukumu yake mwaka 1962, ambapo Hati ya Majukumu ya kila Wizara ilitolewa na kuanisha wajibu wa kila Wizara.

Wizara ya Fedha ilipitia mabadiliko mbalimbali ya Uongozi lengo likiwa ni kuongeza ufanisi katika usimamiaji wa shughuli za Serikali. Mabadiliko haya yalilenga katika maeneo ya Uongozi, Majukumu na hata jina la Wizara limekuwa likibadilika mara kwa mara ili kukidhi utekelezaji wa mjukumu inayopangiwa.

Kumbukumbu mbalimbali zilizopo zinaonyesha kuwa kwa nyakati tofauti Wizara ya Fedha imekuwa ikiitwa, Wizara ya Fedha(1962), Wizara ya Fedha na Mipango(1976), Wizara ya Nchi, Mipango na Uchumi(1983), Wizara ya Fedha na Uchumi(2008) na Wizara ya Fedha(2011). Mabadiliko haya yalilenga kuongeza ufanisi katika usimamiaji wa shughuli za Serikali.

Kutoka mwaka 1962 ilipoundwa Serikali ya kwanza mara baada ya kupata Uhuru hadi sasa, Wizara ya Fedha imeongozwa na Mawaziri 12 katika vipindi tofautiĀ  na Manaibu Waziri zaidi ya 10. Kama ilivyo sasa uteuzi wa Manaibu Waziri ulizingatia uwakilishi kutoka pande zote za Muungano wa nchi yetu.

 
Main page Contacts Search Contacts Search