Waziri wa Fedha Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), akila kiapo mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, baada ya kuteuliwa kuwa Waziri wa Fedha wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, katika hafla iliyofanyika Ikulu, Chamwino, Dodoma.
Naibu Waziri wa Fedha Mhe. Laurent Deogratius Luswetula (Mb), akila kiapo mbele Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, baada ya kuteuliwa kuwa Naibu Waziri wa Fedha wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, katika hafla iliyofanyika Ikulu, Chamwino, Dodoma.
Naibu Waziri wa Fedha Mhe. Mhandisi Mshamu Ali Munde (Mb), akila kiapo mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, baada ya kuteuliwa kuwa Naibu Waziri wa Fedha wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, katika hafla iliyofanyika Ikulu, Chamwino, Dodoma.
THE MEDIUM TERM REVENUE STRATEGY HAS BEEN LAUNCHED
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba, afungua Kikao kazi cha Wataalamu wa Serikali ya Tanzania na Ujumbe kutoka Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF), kilichofanyika Ofisi za Wizara ya Fedha, Treasury Square, jijini Dodoma.
TANZANIA YAORODHESHWA KATIKA NCHI ZINAZOTAZAMIWA KUFUZU KUTOKA NCHI MASIKINI
MPANGO WA MAENDELEO YA SEKTA YA FEDHA WATEKELEZWA KWA UFANISI
WIZARA YA FEDHA YAJINOA UTOAJI WA TAARIFA KWA UMMA
Baadhi ya washiriki wa Kikao kazi cha Wataalam wa Wizara, Idara zinazojitegemea, Wakala za Serikali na Sekretarieti za Mikoa, kuhusu Mfumo wa Uandaaji na Usimamizi wa Bajeti (CBMS),